Kilicho nyuma ya madaktari kuomba radhi ni maagizo toka juu

Na hao madaktari intern unaowasifia watapata faida gani kuona watu masikini wakifariki?

Kama kweli watakuwa wanafurahi masikini wakifa katika mikono yao then they do not deserve to be doctors.

Na kama huo ndo ulikuwa msimamo wa Ulimboka (kuwa watu masikini wafe ili wao waongezwe mishahara)then he deserved what he got.
 
Upo sahihi, kuomba radhi ni dalili ya kuwa madai yao yalikuwa batili wakati siyo kweli. Kwa namna moja ama nyingine wameipa nafasi serikali ifanye inavyopenda sasa ngoja siku waje wajitie wanagoma tena kama kuna mtu atawaunga mkono.
 
Hizi ni sanaaa na hewala za Shaban Robert, ninani aliyempa hati miliki ya kusemea madaktari wote na hata walio masomoni.....jamani unapokuwa msomi basi jitenganishe na ujinga. Kwangu hili ni kama ile riwaya ya mama Tunu Pinda kuumuliza swali Waziri mkuu kwenye hadhara wakati analala naye kila siku kitanda kimoja.
 
Wasiishie hapo tu wawataje na waliowatuma na kuwaunga mkono katika kuwaangamiza wananchi wasiokuwa na hatia kwa maslahi ya wachache.
 
Habari toka Ikulu zinasema kuwa mara baada ya tume ya usuluhishi kwenda kutafuta muafaka wa mgomo wa madaktari na namna ya kutekeleza kama ilivyo amuliwa na mahakama ya kazi. Mh Jk alitoa dukuduku lake la moyoni na akawaambia yafuatayo kama wanaipenda kazi na nchi kwa ujumla.

1. Warudi kwa namna ileile walivyotangaza mgomo warudi na waombe radhi kwa kutumia njia ile ile waliotumia kutangaza mgomo.

2. Katika kutangaza kutojihusisha na mgomo wawataje walio watuma kufanya mgomo. ( Mpaka leo CHADEMA ndo wanajulikana ndio walio sababisha mgomo.

3. Wakiri kuwa wao ndo wakosefu na sio serikali kama walivyokuwa wanadai

Kila mwananchi kwa akili zake changanya na tukio zima la mgomo na tafakari

Poor and hopeless doctors....! Aliyetangaza mgomo mwingine! na aliyejipeleka kimbelembele kuomba radhi mwingine! Magumashi tu...na hakuna radhi yoyote hapo bali 'doktaz wasanii' wametumwa tu na 'Msanii Mkuu' wa flyovers ili kudhoofisha na kuonyesha kuwa nguvu za Umoja wa Dr Ulumboka na jamii kukwa ya Ma-Dk halisi zimeyeyuka..., bali 'wasanii hawa pamoja na wale waliowatuma' wajitambue kuwa Watanzania sasa wanazo 'akili na uelewa sahihi' kuliko hata viongozi wengi serikalini. Itakula kwao...lets stay aside and see!
 
Hizi ni sanaaa na hewala za Shaban Robert, ninani aliyempa hati miliki ya kusemea madaktari wote na hata walio masomoni.....jamani unapokuwa msomi basi jitenganishe na ujinga. Kwangu hili ni kama ile riwaya ya mama Tunu Pinda kuumuliza swali Waziri mkuu kwenye hadhara wakati analala naye kila siku kitanda kimoja.

Agreed 100% + 1

Sanaa tupu hapa...mar-dk magumashi na wasanii watupu hawa!!!
 
Poor and hopeless doctors....! Aliyetangaza mgomo mwingine! na aliyejipeleka kimbelembele kuomba radhi mwingine! Magumashi tu...na hakuna radhi yoyote hapo bali 'doktaz wasanii' wametumwa tu na 'Msanii Mkuu' wa flyovers ili kudhoofisha na kuonyesha kuwa nguvu za Umoja wa Dr Ulumboka na jamii kukwa ya Ma-Dk halisi zimeyeyuka..., bali 'wasanii hawa pamoja na wale waliowatuma' wajitambue kuwa Watanzania sasa wanazo 'akili na uelewa sahihi' kuliko hata viongozi wengi serikalini. Itakula kwao...lets stay aside and see!

Kiongozi nimeipenda SIGNATURE yako

...Changes are inevitable and unstoppable...NEITHER ARMIES nor GUNS, NEITHER RULERS nor A GROUP OF CULPRITS!...THE TIME IS NOW!..YES WE CAN CHANGE TANZANIA..

Nasikitika sana kuona njaa za Dr fake hao wanasemea wenzao wote
 
Na hao madaktari intern unaowasifia watapata faida gani kuona watu masikini wakifariki?
Kama kweli watakuwa wanafurahi masikini wakifa katika mikono yao then they do not deserve to be doctors na kama huo ndo ulikuwa msimamo wa Ulimboka (kuwa watu masikini wafe ili wao waongezwe mishahara)then he deserved what he got!!!!.....

Umesema vema, kama walitaka masikini wafe. Lakini sijawahi kuwasikia wakisema hayo unayosema wewe. Ni wanasiasa waliokuwa wanadai madaktari wanataka, tena sio wanasema.

Wewe ndo kwanza kukusikia ukisema kwa kurudiarudia neno masikini. Umeambiwa wanaugua masikini tu na ndo wanaenda hospitalini kutibiwa?

Hujasikia matajiri wanakufa? Umesema kile wanachosema wanasiasa ili kuzima hoja za kimsingi walizozisema wanaitaka serikali ifanye.

Kama ni mishahara tu kwamba ndo tatizo, je, Serikali si ingefanya mengine ikaacha mishahara? Mbona bado huduma mbovu? Unaweza kuungana na serikali kama hujauguliwa ukajua machungu ya kuuguza bila kuwapo daktari.

Maelezo yako yana ladha ya mwanasiasa kabisa. Katika madai ya madaktari sijawahi kusikia dai la kutaka masikini wafe, badala yake kwamba vitanda na dawa na vifaa vya tiba na uchunguzi viongezwe ili masikini asife. Nyie mnageuza maneno na kusoma kiarabu badala ya kiswahili cha madaktari.
 
Pengine hujawai kuiona mkuu
hiyo orodha ni ndefu sana na kila mtu anayo j.mosi iliwekwa hapa!
Kumbuka orodha ya waliotajwa kuficha mabilioni uswisi...

Hebu tufafanulie hapo penye nyekundu, manake hiyo list hatujawahi kuiona.

Kuhusu kuomba kwa Drs, naona kama wameridhia kuila mikono yao. Sasa watakuwa wanalishwa tu.
[/QUOTE]
 
Tafakari vizuri zaidi. Madaktari waliitisha mgomo usiokuwa na kikomo mpaka mahitaji yao yakamilishwe.
Pili madaktari hawa ndo wanaotoa rufaa na ku facilitate matibabu ya nje kwa viongozi na wenye uwezo.
Tatu,madaktari hawa wanaelewa fika kuwa hospitali zote za serikali zinatibu watu masikini wasiokuwa na uwezo wa kwenda hospitali za pesa na nje.

Ikiwa wanayaelewa haya na bado wakaitisha mgomo usiokuwa na kikomo then walitegemea nani afe,Kikwete,Pinda ,Lowasa au nani kama si masikini wa nchi hii.They should accept that they took a wrong avenue!
 
Back
Top Bottom