Hebu tufafanulie hapo penye nyekundu, manake hiyo list hatujawahi kuiona.
Kuhusu kuomba kwa Drs, naona kama wameridhia kuila mikono yao. Sasa watakuwa wanalishwa tu.
Waislam na UamushoJK hoyee! JK Hoyee, safi sana JK, walijaribu madaktari wameshindwa, wamejaribu walimu wameshindwa, nani sasa ataweza? JK hoyee