kilicho jili kwenye rufaa ya Yanga

Nasikia wamefunguliwa kifungo ila watapigwa faini hii ni kwa adhabu ya TFF ya CECAFA inaendelea ila habari kamili ni mida ya badaye.
 
habari za jana katika TV ni kwamba El Maamry atatoa tamko rasmi la kamati ya rufaa ya TFF leo saa sita mchana. kwa hiyo tusubiri. baadhi ya magazeti yanasema kwamba adhabu ta TFF imetenguliwa.
 
Haya magazeti yaliyoandika nani kawaibia siri? Au kina Elimaamry wameivujisha, mi nilimsikia jana akisema hakuna anayejua maamuzi isipokuwa kamati hiyo tu.

Si Yanga wala Tff hadi watakapotoa tamko.
 
Hebu tupeni habari maana kuna jamaa hapa viroho vinawadunda sana, si tuliambiwa saa sita?
 
Ni kweli tulikimbia ila msimbazi mlitusaliti. Mlioko huko karibu na wanene tujulisheni
 
Inamaana JF hakuna kachero aliyeweza kupata taarifa yeyote mpaka sasa, siamini! Hongera kamati ya TFF kwa kutovujisha taarifa.
 
Salaam wakuu,,kwa mujibu wa mzee Msimbe(www.lukwangule.blogspot.com) Breaking news:ni kwamba timu ya wananchi Yanga imetoka katika kifungo chake na sasa ipo huru baada ya shika nikushike katika rufaa yake..Habari zaidi zitatolewa baadae
 
Inamaana JF hakuna kachero aliyeweza kupata taarifa yeyote mpaka sasa, siamini! Hongera kamati ya TFF kwa kutovujisha taarifa.

Makachero wa JF wanashughulika na issue kubwa jamani, Yanga waliweka mpira kwapani

wakeleketwa wa Yanga wanaweza mpata Katibu wa TFF, Mwakalebela kwa mail hii dref6@yahoo.com
 
jamani inamaana saa sita haijafika hapa nilipo nataka kusikia viongozi wamefungiwa....
 
jamani inamaana saa sita haijafika hapa nilipo nataka kusikia viongozi wamefungiwa....


nakuunga mkono,

Fungia viongozi wote (Vilaza wa Utawala) kujihusisha na mpira kwa miaka 5, fungulia yanga then wapigwe faini yanga kwa kutia mpira kwapani.
 
Ni kweli tulikimbia ila msimbazi mlitusaliti. Mlioko huko karibu na wanene tujulisheni
..Malila,
Kuwa mkweli kaka hamjasalitiwa wala nini nyie kamati ya ufundi iliwaonya mkitia mguu mnakandamizwa so ikawa bora ya lawama kuliko fedheha tunazo hizo nyeti....
 
Mimi sisemi hili kwa ushabiki bali Yanga haistahili kufutiwa adhabu hiyo kwa uhuni ilioufanya ningesema hivyo kwa timu yeyote ile ya Tanzania. Kuna haja ya kuzitia adabu timu zetu na viongozi wao wanaochangia sana kudorora kwa soka la Tanzania.
 
Back
Top Bottom