....Roho zinawadunda kwa nini??? Mlivyokimbia uwanjani mlitegemea nini????Hebu tupeni habari maana kuna jamaa hapa viroho vinawadunda sana, si tuliambiwa saa sita?
Inamaana JF hakuna kachero aliyeweza kupata taarifa yeyote mpaka sasa, siamini! Hongera kamati ya TFF kwa kutovujisha taarifa.
jamani inamaana saa sita haijafika hapa nilipo nataka kusikia viongozi wamefungiwa....
..Malila,Ni kweli tulikimbia ila msimbazi mlitusaliti. Mlioko huko karibu na wanene tujulisheni