Kili Stars wanatia huruma sana: Kilimanjaro Stars 0 - 2 Kenya

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Naangalia mechi ya Kili Stars na Kenya, mpaka mapumziko wamepigwa 2:0 Wameishiwa mbinu,wamekata tamaa.Staili ya uchezaji ni ile ile toka mechi ya kwanza.

Timu inafungwa kocha haonesha kuwapa wachezaji wake mbinu mpya. Anaangalia tu km mtazamaji. Huyu MgundaTFF wasije fanya tena kosa km hili kumpa timu Mgunda. Hajui chochote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFF wana vigezo vya ajabu kuteua makocha.

Kwa mpira upi wa Coastal Union, Mgunda kuwa kocha wa Kilimanjaro Stars?

Kwa nini asipewe kocha mzawa anatefanya vizuri? Wapo Maxime na Katwila.
 
Harambee Stars has beaten Tanzania 2-1 to finish third at the 2019 CECAFA Senior Challenge Cup in Kampala, Uganda.
 
@moderators muwache upuuzi! huu Uzi ni habari ya kenya, msinipangie pa kupost!
 
Hii imekua kawaida sasa, majirani zetu na watani wetu sijui kipi kingine wanakifahamu kando na vigodoro vya uswazi, hawapo kwenye chochote....kingine.
----------------------------------
Harambee Stars beat Tanzania 2-1 in the Cecafa Senior Challenge Cup third place play-off at the Lugogo Stadium on Thursday.

Kenneth Muguna opened the scoring before Abdallah Hassan added a second to give the Kenyans a healthy 2-0 lead at the break. Tanzania pulled one back from the spot on 81 minutes, Gadiel Michael converting after Anthony Wambani handled the ball in the box.

This was a second victory for Kenya against Tanzania in this year's tournament, following Harambee Stars' 1-0 win over their neighbours in their opening match of their campaign in Group B. Harambee Stars, who were the tournament's defending champions, will return home Sh1 million richer for their third place finish in Kampala.

Harambee Stars started brightly and could have taken the lead on 10 minutes through Oscar Wamalwa but Gor Mahia custodian David Mapigano, who was starting his first match for Kilmanjaro Stars, did well to deny him from close range.
There was no stopping Kenya five minutes later as Kenneth Muguna fired home from inside the box. Francis Kimanzi's charges could have doubled their lead three minutes later but Tanzania centre-back Bakari Mwamyeto Nondo intercepted a defence-splitting from David Owino with Wamalwa eagerly waiting to pounce. Kenya’s Anthony Wambani cleared a goal bound shot in the 25th minute as Tanzania mounted pressure in search of the equaliser.
 
HARAMBEE Stars has beaten Tanzania 2-1 to finish third at the 2019 CECAFA Senior Challenge Cup in Kampala, Uganda.

yaani hawa wavivu tunazidi wuwalamba kama glucose kila siku! mchezo wauwezao ni kitandani tu.
 
ngoja uone mods wakihamisha thread yako hadi sports! wamefanya zangu mbili hivyo already Leo.
Kumbe mods ndio waling'oa yangu ya 7s kids eti wako na mafeelings Kama ilivyo kawaida ya Wadanganyika.... kichapo lazima wapende wasipende.
 
Tanzania tunaweza siasa tu! Utasikia ccm ndiyo chama kikongwe kuliko vyote Afrika na kilichokaa madarakani muda mrefu.
 
@moderators muwache upuuzi! huu Uzi ni habari ya kenya, msinipangie pa kupost!

Manyang'au mnashangilia sana mnapoishinda Tanzania kuliko hata mnapowashinda rafiki zenu Al Shabab kwenye vile vita vyenu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom