Kili stars bila ngasa kuwavaa tembo

ifolako

Member
Nov 8, 2010
98
0
Leo tutashuhudia Liverpool ya bongo itavyocheza na Ivorycoast bila ya Steven Gerrad wao(Ngasa).
Kwa hakika mechi zote ilizocheza Kili star imeonekana wazi kuwa mshambuliaji wa Azam FC Mrisho Ngasa ndiye tegemezi lao na kukubali kugeuzwa kama iliyokuwa timu bora ya Ulaya(miaka ya 80)Liverpool kwa kumtegemea Gerrad akisaidiwa kwa mbali na mspain Torres.

Mpira utapomalizika leo ndio haswa tutaona kama kweli Jan Paulson ana timu au kama mwenzie aliyemtangulia Marcio Maximo ya kuwa na kikundi cha wachezaji na si timu ya Taifa.

Pamoja na yote hayo bado tunaiombea timu yetu ibebe dola 30,000 kwani kikombe tayari kwavile Ivorycoast si mwanachama wa cecafa hivyo hata wakiifunga Kili stars hawataweza kubeba kombe halisi.

Mungu ibariki Kilimanjaro stars,mungu nibariki Ifolako,mungu ibariki TZ.
 
Punguza homa Mkuu,

Tembo watoto wataishiwa pumzi mlimani kama Martina Navratilova...
 
Jamani uzalendo tuuweke mbele pia.. Haya ni mashindano kuna kushinda na kushindwa.Jitihana ya vijana wa Paulsen zimeonekana , sasa either matokeo yakiwa - au + basi tuyakubali.. hata matimu makubwa kama ManUni team kubwa nayo ilipigwa nne, chelsea juzi imepigwa na timu inalingana na toto african.... kwani TZ ni nini? so tujiandae vizuri tu kupokea matokeo
 
"tembo mtoto" anakusudia ivory cost kwani wao jina lao ni tembo
wameshindwa kuupanda mlima
 
Back
Top Bottom