Kili Music Awards: Clouds FM acheni utoto, huu pia ni upumbavu

Jestkilla

JF-Expert Member
Apr 23, 2014
2,998
3,952
ImageUploadedByJamiiForums1430306285.350366.jpg ImageUploadedByJamiiForums1430306297.863281.jpg hyo picha ya Pili eti wamekata Jina la Jaydee yani hawa jamaa wapuuzi sana
 
Lakin jaydee mwenyewe si ndo alisema wasimuhusishe na redio yao..?

Even if so kulikua na haja gan ya kutoa hilo Tangazo bora wangepotezea mbona millard ayo ajatoa kabisa na hawajui kamam wanampandisha juu sana
 
Aisee clouds kwa hili wamedhihirisha upuuzi wao, busara hakuna kabisa kituo kizima? Hivi jide hawezi kuwafungulia mashtaka kwa hili kwa sababu wananchi wanaaminishwa yeye hagombei, kweli hapo wanasambaza upendo hivi?
 
jaydee kakataa asiusishe kwa chochote na clouds so bora hajawekwa....kama mbwai mbwai!

safi clouds mmetisha
 
Hiyo ya mtalaka wa Gadna wala siwashangai kwa sababu mwenyewe alishajiapiza hataki wamuusishe kwa lolote, kwenye hili tupo pamoja lakini musiwe munawatenda wasanii ambao hawajatoa kauli chafu kwenu.
 
na mwisho wa siku atabeba hizo tuzo...mwaka jana walifanya hivyo hivyo na tuzo akabeba so ondoa stress mkuu
 
Back
Top Bottom