Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

Dr. Masaburi alimaliza kila kitu ila watu hawakumuelewa. He made it clear kwamba wabunge wa mkoa wa Dar wanatumia makalio kufikiria. Kauli zao kuhusu Dr.John Joseph Pombe Magufuli (MB) kuongeza nauli ya kivuko kutoka Tzs. 100 hadi 200 zimethibitisha hilo.

John Joseph Pombe Maghufuli (PhD) na Didas Masaburi (PhD) dhidi ya wabunge wa Dar: Ndungulile (MD), Mtemvu (?), Zungu (?). Patamu hapo
 
Wakuu,...Ni jambo la kushangaza kama si kusikitisha wabunge wanalipwa tsh 70,000 kwa siku wanadai hazitoshi wamejiongezea kinyamela hadi tsh 200,000/= kwa siku wanadhani hilo ongezeko nani atafidia kama si serekali kutafuta vyanzo vingine.

Nauli mpya ya tsh 200 lazima ilipwe asiyetaka apige mbizi.

Naunga mkono kauli ya Magufuli na woote wanaomshabikia, kwani Sh.100/= haina thamani kwa sasa. Wabunge wa CCM Dar ni wanafiki, waliunga mkono kupandishiwa posho kwa 184% na walinyamazia watu kujenga mabondeni, sasa wanatafuta pa kutokea.

Magufuli kaza kamba asietaka aogelee kwani hakuna mtumbwi utakao vusha kwa Tsh. 100/= hapo Kivukoni!
 
Hawa Wabunge wa Dar-es-Salaam hawajui na sidhani kama wana priorities katikaa mawaazo yao, hebu waache udarilisalama na wasonge mbele zaidi kuulizia katika vivuko vingine huko mikoani watu wanalipa shilingi ngapi alafu walinganishe na hiyo 200. Mie nataka kuwaambia hawatawasaidia wakazi wa Dar kwa kutaka wabaki wanatoa mia tu kwa kivuko, lazima wawafundishe wanaanchiu kujituma na kuwa tayari kuchangia gharama za uendeshaji wa kivuko hicho, lafau kwani wakazi wa Kigamboni wao ni nani mpaka watetewe hivyo? Wabunge wa Dar acheni cheap politics, hazitowaasaidia, alafu mie ninavyoona HAKUNA SABABU KWA WAZIRI KUFUTA KAULI YAKE AMA KUWAOMBA MSAMAHA, siyo wa Kigamboni tu wana matatizo bali ni maeneo mengi, kumbe WALIPE TU HIYO MIA MBILI! Bravo Waziri, ili kupata maendeleo ni lazima watu wavuje jasho siyo kulalamika tuuuuuuuuuuu
 
GreatThinkers,

Lazy people likes someone WHO CANt WalK TheiR TalK, Magufuri Atleast Walks His Talk


Waliowaahidi Uwongo kwa nini hamuandamani leo hii bei imekuwa Tsh.200 mnanuna.

wewe unaona unaona tu nauli kufika 200 lakini huwafikirii vijana wauza matunda ambao kusafirisha baiskeli zao kumepanda kutoka 200 hadi 1800.Think twice bro
 
tatzo la tanzania siku hizi wamekuwa ni watu wakupinga kila kitu na wanasiasa wanatumia udhaifu wa watanzania kupata sifa. Hivi makofuri kakosea wapi kupandisha bei ya kivuko?
Je mbona mafta yakipanda hamshikii bango EURA kwa kiasi hiki?
Mbona nauli za daladala kila ifikapo jion makondakta wanapandisha na hakuna aliye andamana kupinga hili?
Mimi ninavyoona hii imegeuka kuwa siasa zaidi kwakuwa sababu katoa zilizo pelekea kupandishwa kwa nauli.
Mbona mambo mengine ya msingi hamlalamiki?
Eti wabunge nao wajikusanya kupinga hili mimi naona hapa wanatafta umashuhuri. penye ukweli tukubari tusiwe watu wakupinga kila kitu jamani mambo mengine hayana budi kufanywa.
 
Sisi binadamu tuna matatizo,tuna mlaumu waziri kuongea kwa jazba,
Hapo hapo tunasema JK anaongea soft.
Tunachotaka ni lipi?
 
kwani tatizo la kupanda kwa gharama za uendeshaji limeanza mwezi wa 12?je kwa siku hizi panton hunywa mafuta kiasi gani?mantainance ya panton inagharimu kiasi gani?makusanyo ni kiasi gani?je makusanyo hayo yanaendana na idadi ya watu au mizigo inayosafirishwa na kama haiendani kuna upungufu kiasi gani?je hakuna fungu jingine ya kuendesha huduma hii?naomba wadau tutakaochangia tujaribu kujibu maswali haya.

Yani hapa logic iko wapi angepandisha mwezi wa 6 pia ungeuliza hilo swali kwamba kwanini kapandisha nauli mwezi wa 6. Acheni kulalamika kwa kila kitu ebu kuwa reasonable uone kuwa shs 100 toka 1995 mpaka leo? hata pipi 1995 ilikuwa inauzwa shs 10 leo shs 50
 
Huyu Magufuli hata siku akijisaidia haja kubwa hadharani pia atapewa sifa kem kem na baadhi ya watu.
 
kwani tatizo la kupanda kwa gharama za uendeshaji limeanza mwezi wa 12?je kwa siku hizi panton hunywa mafuta kiasi gani?mantainance ya panton inagharimu kiasi gani?makusanyo ni kiasi gani?je makusanyo hayo yanaendana na idadi ya watu au mizigo inayosafirishwa na kama haiendani kuna upungufu kiasi gani?je hakuna fungu jingine ya kuendesha huduma hii?naomba wadau tutakaochangia tujaribu kujibu maswali haya.

ile ni huduma mkuu, na sio biashara.
Tukisema tuangalie faida nauli inaweza ikawa buku na ushee ati?
 
Dewji kanena, hawa wabunge ni wanafiki wakubwa, wanataka kuwatumia wananchi kujipatia umaarufu tu; hata hiyo nauli ya 200 bado ni ndogo sana mbona Pangani walalamiki?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
wakuu,

nina mwanangu anasoma darasa la pili ukimpatia tsh 100 anakuuliza sasa hii itanunua nini ?.ni jambo la kushangaza kama si kusikitisha wabunge wanalipwa tsh 70,000 kwa siku wanadai hazitoshi wamejiongezea kinyamela hadi tsh 200,000/= kwa siku wanadhani hilo ongezeko nani atafidia kama si serekali kutafuta vyanzo vingine.

Nauli mpya ya tsh 200 lazima ilipwe asiyetaka apige mbizi.

baelezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyu mzee ninamkubali sana ila kwa hili amekosea.alitakiwa adhibiti wizi pale ili ajuwe mapato halisi ni yapi?,na je? Yanatosha kuendeshea!
 
kwanza kile kivuko ilibidi tuwe tunavuka bure. Sababu kile kipo badala ya daraja. Je wakijenga daraja tutakua tunatoa hela? Sisi tunavukia huku vijibweni nyuma ya kwa wachina high way lakini tunalipa mia tatu tena ni mtumbwi je kwanini kile kivuko cha umma kiwe mia mbili? Hapana haiwezekani. Mia
wewe achana na kupenda vya bure enzi hizi za akina cameron vitakuletea shida sana.
 
Kwa hilo mi namuunga mkono Magufuli hebu tuambieaneni ukweli je mbali ya kivuko cha magogoni mbona vivuko kama cha Busisi kule Mwanza hutozaa 300 au kule Pangani hutoza 200 iweje wa Kigamboni watozwe 100 ,je hiyo 100 itakidhi maboresho ya huduma za hicho kivuko?jibu ni hapana.Kwanza hata hao wauza maembe toka Kigamboni huuza embe dodo moja kuanzia sh 500 hadi 1000 na asikwambie mtu wengi wa Wakazi wa Kigamboni ni wafanyabiashara,wavuvi na wakulima wenye uwezo,mimi naona hata hiyo 200 ni ndogo walipe 300.Na hao wabunge waache kufikiri kwa kutumia masaburi yao kwa ajili ya kubebembeleza kura ,mbona kwenye posho hawapingi kuongezewa hiyo posho ambayo huchukua fedha nyingi zinazoweza kusaidia kuleta maendeleo kwa wananchi
 
Kudos!.....to Azim Dewji

Hakuna cha kudos wala nini!! Azim Dewj mkurupukaji tu, ukiona hivyo ujue ana lake jambo!
Eitha anataka alete boti zake so anajipendekeza ili asibaniwe tena, au usishangae hata akaleta kivuko hapo.
Katika hao wabunge wa DSM ndio ameskia walikua waking'ang'ania posho??
Achukue taimu huko, ye kama ana uwezo wa kulipa hiyo hela asifikiri wote wana uwezo huo??
Nauli gani hata Sumatra hawaijui?? Hizo ndio zile nauli ambazo mtu anashauriwa na Kimada wake Bar, kesho anakurupuka na maamuzi ya kustukiza kama haya!!
 
Dr. Masaburi alimaliza kila kitu ila watu hawakumuelewa. He made it clear kwamba wabunge wa mkoa wa Dar wanatumia makalio kufikiria. Kauli zao kuhusu Dr.John Joseph Pombe Magufuli (MB) kuongeza nauli ya kivuko kutoka Tzs. 100 hadi 200 zimethibitisha hilo.

....Taratibu ninaanza kukubaliana na Dr.Masaburi, inawezekana kabisa kuwa hawa Wabunge wa Dar es Salaam wana nyaya zilizounganisha bongo zao na makalio, hawapo sawa hawa....
 
Back
Top Bottom