Kilewo Aivunja ngome ya Profesa Jumanne Maghebe Maeneo ya Usangi Mwanga Kilimanjaro

maghembe tangu amtandike makofi yule DJ wa show yake mwenyewe alipopigiwa kile kibao cha diamond kinachoitwa MWENDAWAZIMU KAINGIAJE , NIMEMDHARAU SANA ! 2015 NI LAZIMA AANGUKIE PUA .
 
naona unajipigia promo humu. wana-mwanga wanaoingia humu ni 0.0000000%. wengi wetu humu tuna uraia wa Tanzania tu lakini hatuishi Tanzania achilia mbali wilaya zingine mbali na mwanga. pole.

nilikuna na ndoto za kua asipotokea mkomboz nitakomboa mimi ila nikajipima ubavu nikaona nitapwaya nikawa namwomba mungu amlete musa huyu atutoe kwenye makucha ya mafarao hawa

fedha za mfuko wa barabara zinafanya kuporwa kwa stayle ya ujambaz.barabara ya kijiji cha kilawen yenye km 8 imetengewa tsh mil.11 za kukwangua majani tu

najua ubabe, ujuha,ushirikina wa prf.maghembe itakupa changamoto lakni kaza mlume dalili za msiba wa wazee wahafidhina wa chama kuanguka ziko wazi na tutawaangusha sisi tukiwa na kadi zao mfukon.tunataka mabadiliko na yakija hawatazuia muda ni huu anza kusogea karibu na sis wenye jimbo.

0755445878
 
kilewo+1_o.jpg

Kamanda Kilewo Akitoa maelekezo ya Kuanza kuwapokea Wanaccm
Waliyoamua kujivua Gamba na Kuvaa Gwanda Hali ilikuwa Nzuri
kilewo+2.jpg

Kamanda Kilewo Akitekeleza Jukumu la Kuingiza wanachama wapya
kilewo+4_o.jpg

kilewo.3.jpg

Kamanda Kilewo Akimkabize Mzee Kadi mpya ya Chadema baada ya mzee
Huyo kurudisha kadi ya Tanu(ccm) Maeneo ya Usangi.
wacha ulaghai kileo..ngome ya j4 hata ulimi huna utaiweza! wapare ni thithiem nambari wani tu avae
 
Peter kisumo na cleopa msuya walikua wanamsapoti Tadayo against magembe na ni kweli wanamchukia magembe,mimh ni kati ya mmojawapo niliyekua nasimamia oparesheni hiyo yakumng'oa magembe,ila alitumia ujanja mmoja kuingiza udini na ndipo alipomshinda tadayo.wapere wengi usangi waislamu abt 95prcnt,na ukikubalika usangi then umepita kote

Acha akili za kipumbavu na unatakiwa kutoa hoja zenye mashiko. Anaposhinda Muislamu unasema kaleta udini ila anaposhinda Mkristo siyo udini. Unakumbuka kampeni za kichaa wenu Lema wa Arusha mjini zilijaa maneno mengi ya kiudini n akachaguliwa ila waislamu wapo kimya tu. Tumia akili usitumie ------ kuwaza
 
Kileo atamkomboa kijana yupi......?kwa sera zipi za ukombozi Wa vijana....? Tujiulize vijana Wa ubungo, Kawe au mbeya mjin wamekombolewa......??acheni kijidanganya.
 
Hivi wewe kiwelo ndo unaiwakilisha chadema mwanga? Hv nikikwambia hata nyerere afufuke kisha aje aiwakilishe chadema mwanga hapat kitu utaamini? Dah,chadema kweli mzigo. Kiwelo ana cv gan ya kuiwakilisha mwanga jamani? Yan nashangaa. Jaman mwanga sio kama jimbo la ubungo,sio kama mbeya mjini,sio kama arusha mjini,ile ni sehem tofaut kabisaa. Yan wapare wa mwanga huenda tutaifagilia chadema huku towan lakini hatutaki kabsaa kuiskia maskani kwetu. Tuache kwenda misaragambo twende kuandamana? HAICHO NKINIICHI. Cha kwanza lazma uulizwe,HAICHO UNAELIMU ANI?(Unaelimu gani?) Utajibu nini? Wana mwanga tushazoea kla tunaemchagua anaenda kuwa WAZIRI,sasa wewe kiwelo kweli? Tena chadema muache matusi kwa watu wa mwanga. Kwasababu kumchagua kiwelo kwa mwanga, hasa USANGI na UGWENO ni tusi. Ukute wazee wa usangi walivokuona tu wameshapiga simu kwa maghembe,cleopa msuya na asha rose migiro kuuliza kuwa haka kakijana mmekaleta huku kugombania UKATIBU KATA au TARAFA. Stupid KABISA. Na wapare wanavojali haki zao ndo siku mulete vimaandamano vyenu huko pare ya tambarare(manake usangi na ugweno haiwezi tokea) aumie mpare hata mmoja tu Wapare wataenda kuistaki chadema. Nawanavopenda haki kupitia kesi,haka kachama kasipofutwa sijui.
 
naona unajipigia promo humu. wana-mwanga wanaoingia humu ni 0.0000000%. wengi wetu humu tuna uraia wa Tanzania tu lakini hatuishi Tanzania achilia mbali wilaya zingine mbali na mwanga. pole.

ww utakufa na kioro bure wacha wanaume tukomboe jimbo letu we watakuokota chin chukia ujinyonge na ibilis ndugu yako anakusubil moton
 
Hivi wewe kiwelo ndo unaiwakilisha chadema mwanga? Hv nikikwambia hata nyerere afufuke kisha aje aiwakilishe chadema mwanga hapat kitu utaamini? Dah,chadema kweli mzigo. Kiwelo ana cv gan ya kuiwakilisha mwanga jamani? Yan nashangaa. Jaman mwanga sio kama jimbo la ubungo,sio kama mbeya mjini,sio kama arusha mjini,ile ni sehem tofaut kabisaa. Yan wapare wa mwanga huenda tutaifagilia chadema huku towan lakini hatutaki kabsaa kuiskia maskani kwetu. Tuache kwenda misaragambo twende kuandamana? HAICHO NKINIICHI. Cha kwanza lazma uulizwe,HAICHO UNAELIMU ANI?(Unaelimu gani?) Utajibu nini? Wana mwanga tushazoea kla tunaemchagua anaenda kuwa WAZIRI,sasa wewe kiwelo kweli? Tena chadema muache matusi kwa watu wa mwanga.nyumban kwak hakuna choo umekuja kunya uk jf (ketha uthakaje nguo kuliko mtwi)unazungumza kwa mazoea ya mwaka 1970 wakat wa vuguvugu la ubaguz wa mzee msuya na kampen za kuigawa PARE LAND na kuhamishia kila kitu uko mliman kwao usang. mambo sasa yamebadilika usang
 
We kweli DAVA. Bora chadema muwakilishwe na n.y.a n'.gau mwanga kuliko hcho kituko.
 
Ritz huwezi kujibu hapo, kazi yenu kushabikia wezi na wala rushwa, Chenge, Lowasa, mmewapa mpaka uwenyeviti mabungeni, wanafiki wakubwa MaCCM!!
 
Back
Top Bottom