Kilewo Aivunja ngome ya Profesa Jumanne Maghebe Maeneo ya Usangi Mwanga Kilimanjaro

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
kilewo+1_o.jpg


Kamanda Kilewo Akitoa maelekezo ya Kuanza kuwapokea Wanaccm
Waliyoamua kujivua Gamba na Kuvaa Gwanda Hali ilikuwa Nzuri
kilewo+2.jpg

Kamanda Kilewo Akitekeleza Jukumu la Kuingiza wanachama wapya
kilewo+4_o.jpg

kilewo.3.jpg

Kamanda Kilewo Akimkabize Mzee Kadi mpya ya Chadema baada ya mzee
Huyo kurudisha kadi ya Tanu(ccm) Maeneo ya Usangi.
 
Hiyo ndio ngome?

Magwanda naona mpaka viwanda vidogo vidogo mnavyo pia.
 
mjomba ebu tuwekee Picha ya kadi ya TANU wengine hatukuwahi hata kuitia machoni tuone kama inatia kinyaa kama ile ya CCM.
 
zomba wewe kila kitu ni kukejeli tu mkuu, ebu tupe takwimu japo za mwezi mmoja tu za watu waliotoka cdm au hata tlp kujiunga na chama vhako, mimi nakupa huko lindi last week tu kuna operation imefanywa na makamanda waza wa lindi na wamevuna wanachama wa vijijini 300, je kwako ikoje? LICHAMA LENU LINAKUFA, MMESHINDWA KUJIVUA GAMBA, MMESHINFDWA KUMUWAJIBISHA JK KWA UDHAIFU, MANALEA WEZI HAMCHUKUI MAAMUZI MPAKA WANANCHI NA CDM WAWAPIGIE KELELE, LEO WEZI NDIO MNAOWAPA UENYEKITI WA KAMATI BUNGENI... DALILI YA MVUA NI MAWINGU, HATA KWAKO UKIONA WAGENI WANAPUNGUA KUJA KWAKO KAMA AWALI UJUE KUNASHIDA...UMEAWAHI KUJIULIZA MAISHA WATAKAYOISHI WAJUU ZAKO MIAKA 20 IJAYO???
 
mmechanganyikiwa CHADEMA. HUU NI USANII NA KUJIDANGANYA TU HAKUNA CHOCHOTE. HUWEZI KUVUNJA NGOME YA MAGHEMBHE HUKO HACHA KUFARIJI WENZAKO WASUGUA MASUFURIA HUKO MAREKANI NA UINGEREZA
 
Ngome gani iliyobomolewa?mbona wako wenyewe peke yao?halafu wanahesabika cjui wanne?
 
bado watakao jivua magamba watakapo toka Dodoma maa nasikia kuna mmoja alishika namba 6 ngazi ya mkoa lakini NEC taifa ameshika namba 1

wajumbe hawajaridhika wakitoka watavua magamba tu
 
Back
Top Bottom