Kilevi kipi kati ya hivi mtu akitumia huwa unamuona wa ajabu sana?

Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
112
250
Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man).

1. Ugolo
2. Gongo
3. Bhangi
4. Mirungi
5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant
6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)

Njooni mshee jamani walevi wa hivyo vitu hapo juu najua mtapinga sana huu Uzi lakini Sina namna itabidi msemwe tu---- karibuni jamani
 

Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
440
1,000
Sasa kama hutumii wewe binafsi unaanzaje kuwaona watu wengine vituko? Tafuta hela ukizipata hutamind vitu kama hivyo.
 

APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,978
2,000
Bangi na Mrungi hapo ndo vilevi vya matajiri, achana na hayo mauchafu mengine. Japokuwa bangi pia masikini wanatumia.

Bangi inavutwa hadi na maofsa mkuu, ni vile tu wanakuwa wamevaa masuti alafu wako na ma V8 huwezi kuwajua.

Kuna I.O mmoja ana cheo cha juu sana, alikuwa akinituma kwa pusha nachukua hata ganja ya laki, ye havutii kwa pusha, anamokea kwake.

Ila katika vyote mrungi ndo unauzwa bei kuliko vyote alafu ni scarce.
 

Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
112
250
Bangi na Mrungi hapo ndo vilevi vya matajiri, achana na hayo mauchafu mengine...japokuwa bangi pia masikini wanatumia

Bangi inavutwa hadi na maofsa mkuu, ni vile tu wanakuwa wamevaa masuti alafu wako na ma V8 huwezi kuwajua

Kuna I.O mmoja ana cheo cha juu sana, alikuwa akinituma kwa pusha nachukua hata ganja ya laki, ye havutii kwa pusha, anamokea kwake.

Ila katika vyote mrungi ndo unauzwa bei kuliko vyote alafu ni scarce.
Duuh kwa Nini mirungi bei mkuu.
 

Mokobe

JF-Expert Member
Sep 25, 2020
1,259
2,000
Ugolo ni kilevi kikali na kinatumiwa na matajiri wachache sana
Mirungi na Mpepe tatizo lake ni huwezi kutumia kwa amani hapa nchini maana muda wote nyakua nyakua ikilengeshwa umeenda
Mahali kama kenya hapo mirungi ruksa ukivuka mpaka tu unakula kama mbuzi tani yako unarudi nyumbani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom