If serious... let's do togetherSijawahi kupafika kileleni
Poleh mdadaSijawahi kupafika kileleni
Kwahiyo ningeenda pm ningeingia cha kike?Ni ME.. KE hawezi anzisha uzi wa namna hii..
Unawaza misiba kwenye mapenzi?Nawakumbuka ndugu na marafiki waliotangulia mbele ya haki kisha naangua kilio kwa sauti kuu
Jaribu siku moja kufikaSijawahi kupafika kileleni
Hapo ni mawiliSijawahi kupafika kileleni
Ungeenda tu Mkuu.. Mngeongea naye kiume.Kwahiyo ningeenda pm ningeingia cha kike?
Sijawahi kupafika kileleni
kabisaUngeenda tu Mkuu.. Mngeongea naye kiume.
Nakusihi, jitahidi sana uache hiyo tabia!!😯Na kuna wanaojamba ukadhan limepigwa bomu la machozi
Nenda mkuu usisikilize ya watuKwahiyo ningeenda pm ningeingia cha kike?
Mkate kucha hizo!!Mgongoni nina alama za makucha ya wifi yenu, hadi nimeamua sasa navaa t-shirt wakati wa kula tunda