Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,776
- 730,057
Kuna aina anuwai za kutengeneza michongo ya pesa na kati ya njia hizo nyingi ni maigizo utapeli na hila
Kuna mfumuko mkubwa wa makanisa ya manabii na mitume haya ni maarufu mno kwa ibada za kutoa majini na mapepo na hawako pekeyao kuna waganga wa kienyeji na madaktari wa tiba za asili baadhi yao
Kinachofanywa kwanza ni kumtumia mwanamke kama target kwakuwa yeye huingilika kirahisi na hayo madude
Kisha wakati wa ibada huyu mwombeaji kwa kutumia mchanganyiko wa albat soda mafuta ya mzeituni na mafuta ya miski na due mbali mbali kama dua ya ruqya hualika majini ama mapepo kwa mkono wake wa kulia uliopankwa ule mchanganyo
Kwa uamrisho wake hayo madude huwaingia viumbe walengwa na baada ya hapo hutumia mkono wa kushoto alioupaka udi na mafuta ya nguruwe hapo lazima majini ama mapepo yatimue mbio kwakuwa hayapatani kabisa na hiyo harufu
Ile ya kusema shetani toka kwa jina la Yesu ni kiambishi tu cha uaminisho ili kuficha ukweli