Kilango sasa awageukia akina Slaa

Mushi, Bubu anammaliza nani pale Anne Kilango?

I can't believe this! I can't believe this! I can't believe this!

I told you people! I told your asses! (samahani nikeshikwa na furaha/hasira kwa sababu moja ya watu ambao nilisikitika kutofautiana nao katika hii ishu ni Bubu. Nimefurahi hapa ataona sikuwa na nia mbaya ya kum undercut huyu Mama Mbunge)

Kina Bubu waliniona kama shetani la kifisadi niliposema huyu Mama ni msanii.

Bubu umesema eti...Ha haaa haaaaa a

Bubu, nilimsikia huyu Mama anaongea na Mwanakijiji jamani. Kabla ya hapo nilikuwa nampenda sana huyu Mama. Tena nikawa namu admire kwa sababu akiwa kama Mke wa Malecela, you would think atakuwa mkereketwa wa CCM establishment being that Mmewe ni party statesman. Nikawa nazidi kumpenda kwa kukosoa kosoa chama cha Mmewe. Kuja kumsikia anamwambia Mwnkjj eti Kikwete administration ni adui wa ufisadi kwa sababu eti alitoa hotuba nzuri wakati wa inauguration nikatema Mama tema mate chini!

Sasa, check this out Bubu Ataka Kusema. Hayo ya Musa. Kaa chonjo. Ya firauni yanakuja. Don't change the channel.

Lakini Mkuu, kabla hatujaenda mbali unaweza kuzichanganua kauli mbli alizotoa huyu mama katika kipindi kizichozidi wiki moja? Hizi kauli zinatofautiana kama usiku na mchana kwa sisi tusiomfahamu vizuri huyu mama tulikuwa na kila sababu ya kuomba apewe muda, hatukusema kama yeye ni mkombozi wa kweli bali tuliomba tumpe muda ili tuone maneno yake kama ni ya kweli au la. Na kama ulivyoona Watanzania wengi nje na ndani ya nchi walimsifu, magazeti mbali mbali pia yalimsifu kwa kile alichoongea. Sasa sijui kisichoeleweka ni kitu gani watu wanapoomba fulani apewe muda wa kufuatilia kauli na matendo yake kabla ya kuhitimisha huyo mtu ni mtu wa aina gani. Sasa mungu si Athumani hata wiki haikupita ametuionyesha yeye ni mtu wa aina gani. Na mimi nimebadili msimamo wangu maana nimeshaona kwamba ni msanii tu, huku yuko na kule yuko.
 
...Sasa mungu si Athumani hata wiki haikupita ametuionyesha yeye ni mtu wa aina gani. Na mimi nimebadili msimamo wangu maana nimeshaona kwamba ni msanii tu, huku yuko na kule yuko.

'Till they all come home!

Bubu ahsante kwa uzalendo wako wa kuwa open-minded! Sio binadamu wengi wanaweza kuvumilia kubadili mawazo hivyo. It's a sign of genius!

Duuuh!

A salute you. Tanzania kuna vichwa na kuna wazalendo. Ndio maana nakataa nadharia ya Dr. Watson na Nyani ya "Ndivyo Tulivyo."

Till they all come home!

Na bado. Endelea kumu watch huyu Mama very closely. Don't change the channel!
 
Usimhukumu labda wamenukuu vibaya. Tusubiri kesho. Nilisha sema kuhusu hii hoja ya ufisadi na Rev. Kishoka akaelezea vizuri kabisa. Hizi hoja za kuropoka majibu yake huwa ni ya kuropoka na mtu yeyote anaweza kudai ownership. Kwa sasa lazima ukubali hoja ya ufisadi ni ya CCM na anayeiongoza ni huyu mama. Kama wapinzani wanataka kumpokonya itakuwa ngumu sana kwa maana hadi baadhi ya wapinzani waliingia mkenge. Nashauri tumwachie tu hii hoja aangaike nayo badala ya kuanza kung'ang'ania. Tusubiri kesho wapinzani watadai hoja ni hayo.

Sam
Nami naanza kujiuliza kama uko sawa .Hoja hii ni ya Anna Kilango tena ? Aliitoa wapi ? data zipi ambazo amesha mwaga kama za Slaa .ES kakiri kwamba Mzee amekosea Hoja ni ya Slaa tangia mwanzo .Kilango nadhani sasa anataka kupoteza wapenzi kwa kuacha issue yenyewe nakuanza kujadili jambo ni yangu ama yetu .Ama makelele yeote ilikuwa janja yao tu hawa ?Inabidi nimwangalie sasa kwa macho 4 ila uzuri ni kwamba sijawahi kumwamini sana huyu Mama so sina pressure .
 
Guys

Now, go back and remember my words. When this Mama blasted i told you that he is doing what Kimaro did with nyumba za serikali, pre emptying the so called wapinzani before they come with facts and figures. Similar to what Chegeni did with EPA. When Dr Slaa, contributing to budget debate last year raised the EPA issues no one cared. But after he said he will bring the private motion, then it raised their eye brows!. Then before he submitted his motion, Mr. Speaker asked for all the evidences. When he submitted to him the draft motion and some evidences, Mr Spika when to his party kamati ya uongozi. It is there they opted to block the hoja binafsi, then they asked the likes of Chegeni to make a lot of noises and the government to pledge that it working on the matter. Zakhia Meghji by then played the show better! Then Dr Slaa was smartest of them all, he withdrew his hoja binafsi, added some more wine and sent to wananchi as a list of shame. The government was then left naked. Now with this commodity support thing, just go back to bunge hansard, the wapinzani have been raising this issue since the debates in past budget year. Mama Kilango was told that the wapinzani will raise this issue in this session, this time with more loud voice. Then she went into bandwagon ya kusaka umaarufu na kuwawahi wapinzani just as she had promised last year in her speech. But she merely gave a vague allegation of total figure and year. That as during Mkullo budget debate, and Mkullo did not respond to what she raised, he focused on EPA not CIS. But Mama Kilango fear of his part CCM never hold shilingi. But Dr Slaa has come at the right time, ofisi ya waziri mkuu. With facts and figures, now the government is forced to respond. Now Mama Kilango is seeing the stragegy is failed. Aachane na ukada, she should focus on utaifa, it doesnt matter who raised what, but how and what is the impact to the wananchi

Asha
 
wasiwasi wetu ni nini? mimi sijali nani ametoa hoja hiyo, ninachojali uzito wa hoja wenyewe na kama ujumbe umewafikia walengwa, hoja ina uzito? ndiyo , tena mkubwa ni kuhusu majambazi walioiba pesa za tanzania,(siyo za ccm au chadema). je ujumbe umefika? ndiyo, umewafikia watanzania wote, kuwa wawe macho, kuna pesa zimeibiwa, tena nyingi, mama kilango anataka warudishiwe, slaa anataka warudishiwe, wote wanataka wahalifu wachululiwe hatua. mengine yaliyobaki ni ya kisiasa. kilango asipowalaumu akina slaa sasa aungane nao? huko kwake ccm hawatamtimua?

hoja iko mbele yetu : TAIFA LANGU MBELE DAIMA, CHAMA CHANGU BAADAYE
 
For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did.

It goes without saying that I have been very impressed with many member's contributions on various topics. But I must admit that at times I have been left wondering and disappointed with those that tend to go off-topic. This is one reason why it took me so long to register. I promise, with this being my first ever, to stick to the point and hope that most of us in here who really have love for our country Tanzania, will continue to contribute mature and constructive ideas on how we can salvage a country that is surely headed for the rocks.

I will try not to offend anyone but will come down hard like a ton of bricks on anybody - and I mean anybody - who will try to derail this noble cause. The country is going to the dogs and nobody but its true and humble citizens like us can save it. I am proud of two things i.e. one, at over 50 I have never voted in any general election and two, I have never been a member of any political party.

And now to the subject. Anybody who at this point in time is still a member of CCM by deed and creed can not be expected to help bring change without moving out. Anybody who up to now still believes that the leadership we now have in Tanzania can take us out this murk is in a dream and needs to wake up fast. Ana Kilango is such person and how I pity her and those that believe in her tantrums.

Finally this being my first contribution, may I apologize to all those I may have offended in my anger in relation to what I call cancerous proliferation of my beloved country, Tanzania.
 
...disappointed with those that tend to go off-topic. This is one reason why it took me so long to register. I promise, with this being my first ever, to stick to the point and hope that most of us in here who really have love for our country Tanzania, will continue to contribute mature and constructive ideas on how we can salvage a country that is surely headed for the rocks.

I will try not to offend anyone but will come down hard like a ton of bricks on anybody - and I mean anybody - who will try to derail this noble cause. The country is going to the dogs and nobody but its true and humble citizens like us can save it. I am proud of two things i.e. one, at over 50 I have never voted in any general election and two, I have never been a member of any political party.

And now to the subject. Anybody who at this point in time is still a member of CCM by deed and creed can not be expected to help bring change without moving out. Anybody who up to now still believes that the leadership we now have in Tanzania can take us out this murk is in a dream and needs to wake up fast. Ana Kilango is such person and how I pity her and those that believe in her tantrums.

Finally this being my first contribution, may I apologize to all those I may have offended in my anger in relation to what I call cancerous proliferation of my beloved country, Tanzania.

You veered wildly off topic already!
 
Yawezekana akawa na uchungu wa kweli kwa nchi yake lakini ccm always ni ndumilakwili huwa wanabalika kuliko vinyonga, sasa hajui this time kwenye kale kamkutano ka nec kalichofanyika mara ya mwisho na bwm akaudhuria walimpa memo ya aina gani?
Bunge nila wananchi na wao (wabunge) wanawasilisha wananchi wakiweka UMIMI WA CHAMA KWA MASLAI YA TAIFA ITAKUWA NGUMU KUTETEA WANANCHI!,
siwezi kuishangaa ccm maana wanadhani sikuzote wataburuza watanzania kwa kila walitakalo like jana Mkullo anadai pesa za EPA ni za wafanyabiashara za mwaka 1980 wakati Nchi ilikuwa inaupungufu wa pesa za kigeni?? inawezekana vp pesa za mwaka 1980 zije kutumiwa kipindi cha kampeni za urais mwaka 2005?? na kama zilikuwa si za umma kwanini Mh. rais amtimue kazi gavana wa BOT na akaunda tume ya kuchunguza na tume hiyo imetumia pesa za Umma kufanyia kazi.Hivi Mkullo anafikiri watanzania wote ni wajinga?? tangu mwaka 1980 zimepita awamu ngapi za urais hadi 2005 ndipo zigundulike kuwa pesa zimetumika vibaya.
Kwamaana nyingine Rais aliudanganya umma kuwa pesa za EPA ni za umma na zitarudishwa? na mali zilizokamatwa kwa watuumiwa wa EPA zikawekwa warehouse na pesa zilizorudishwa zilirudishwaje na ile tume ilokuwa imeundwa ndani ya miezi 6 mbona hatujapewa repoti yake au ripoti inasema kuwa pesa ndio za wafanyabiashara??
Watanzania hawadanganyi kiurahisi hivi wamesubiri Marehemu Balali amekufa ndipo wanatueleza uozo huu?? CCM na serikali yake inatia aibu mafisadi wamesha wamaliza wamewatena wote hakuna mwenye kuweza kuongea lolote juu ya mafisadi hata Mama Kilango hiyo yote ni "Danganyatoto"
Watuaambie kwanini walitupia pesa zetu kuundia hiyo tume kwa uchunguzi wa pesa za EPA tena kwa muda wa miezi 6 wasifikire sisi ni wajinga.
 
wasiwasi wetu ni nini? mimi sijali nani ametoa hoja hiyo, ninachojali uzito wa hoja wenyewe na kama ujumbe umewafikia walengwa, hoja ina uzito? ndiyo , tena mkubwa ni kuhusu majambazi walioiba pesa za tanzania,(siyo za ccm au chadema). je ujumbe umefika? ndiyo, umewafikia watanzania wote, kuwa wawe macho, kuna pesa zimeibiwa, tena nyingi, mama kilango anataka warudishiwe, slaa anataka warudishiwe, wote wanataka wahalifu wachululiwe hatua. mengine yaliyobaki ni ya kisiasa. kilango asipowalaumu akina slaa sasa aungane nao? huko kwake ccm hawatamtimua?

hoja iko mbele yetu : TAIFA LANGU MBELE DAIMA, CHAMA CHANGU BAADAYE

Very strong, mkuu mag3 you better be for real, karibu sana. Mkuu Borntown, mbona unahangaika sana na mama Kilango na mzee malecela, kila kona ya forum kulikoni mkuu yaliyokusibu maana wewe na ndugu yangu mmoja humu imekuwa hawa viongozi wawili tu vipi hawa ndio mafisadi? Wameiba hela ngapi za taifa? Mbona mnataka kutudanganya watu hapa maana ni clear kuwa kuna something more than siasa za taifa ni nini hasa?
 
For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did.

It goes without saying that I have been very impressed with many member's contributions on various topics. But I must admit that at times I have been left wondering and disappointed with those that tend to go off-topic. This is one reason why it took me so long to register. I promise, with this being my first ever, to stick to the point and hope that most of us in here who really have love for our country Tanzania, will continue to contribute mature and constructive ideas on how we can salvage a country that is surely headed for the rocks.

I will try not to offend anyone but will come down hard like a ton of bricks on anybody - and I mean anybody - who will try to derail this noble cause. The country is going to the dogs and nobody but its true and humble citizens like us can save it. I am proud of two things i.e. one, at over 50 I have never voted in any general election and two, I have never been a member of any political party.

And now to the subject. Anybody who at this point in time is still a member of CCM by deed and creed can not be expected to help bring change without moving out. Anybody who up to now still believes that the leadership we now have in Tanzania can take us out this murk is in a dream and needs to wake up fast. Ana Kilango is such person and how I pity her and those that believe in her tantrums.

Finally this being my first contribution, may I apologize to all those I may have offended in my anger in relation to what I call cancerous proliferation of my beloved country, Tanzania.

For a starter, yourself you are totally off topic. You could have discussed your thoughts about how not to be off topic elsewhere.

I am in disbelief that you FAIL to understand how POWERFUL your Vote is. People all over world fought and some lost their lives to have this RIGHT and you do not bother to exercise it. Then I dont think you can comment anything about who is elected to run your country.

However, I am very glad that you have joined and ready to help in this great cause. Karibu.
 
Toa kibanzi kwenye jicho lako, mwanetu! Statement ya kuwa haja vote ameiweka kuonyesha jinsi alivyokuwa 'disillussioned' na siasa za kwetu. Uliyeenda off-topic ni wewe kwa kuingiza uzalendo kwenye the whole issue. Uzalendo si kupiga kura tu!
 
Akizungumza na Majira jana, Bibi Kilango alisema amesikitishwa na alichokiita kuibiwa hoja na wapinzani na kuiwasilisha bungeni kama jambo jipya, wakati zikiwa zimepita siku nne tu tangu alipozungumzia masuala hayo kwa uchungu na kwa ukali na kugusa hisia za Watanzania.

Wanajenga nyumba moja iweje wagombanie fito...??!!!!
HAKUNA NYUMBA HAPO.
 
Anne hoja yako inaibiwa? acha kutuumbua wenzio....
 
Toa kibanzi kwenye jicho lako, mwanetu! Statement ya kuwa haja vote ameiweka kuonyesha jinsi alivyokuwa 'disillussioned' na siasa za kwetu. Uliyeenda off-topic ni wewe kwa kuingiza uzalendo kwenye the whole issue. Uzalendo si kupiga kura tu!

Fundi Mchundo,

Niko tayari kuelimishwa. Natambua kuwa this is not a thread for that but unaweza kuniambia Uzalendo ni nini basi? You lack context in your post. I tried to point out that LIVES were LOST trying to acquire voting right. What is more important than LIFE?

Unajua ni watu wangapi ambao hawapigi kura kila wakati, kwa kutothamini kura zao? Halafu wanakuja kusema ohh, kiongozi huyu hafai...Now imagine that they are knowledgable and votes for whoever they like....As you should know democracy does not guarantee the outcome but the legitimacy.

Let's kill this we are heading way off "Kilango sasa awageukia akina Slaa".
 
Mama Kilango Naye Mama Msifa Tu,ngoja Yaishe Ya Epa Naye Atakaa Kimya,hapo Kelele Kwa Sabababu Yona Yupo Ndani
 
Washauri wa huyu Mama tafadhali mshaurini kuwa hapa watu hawaangalii ni nani kaleta hoja ama imetoka wapi ,ila la msingi ni kuangalia jinsi ambavyo masilahi ya taifa yanazingatiwa.

Nawashauri pia wamshauri kuwa kitendo cha Dr.Slaa ,kuendelea kusema juu ya haya mambo ni kuweka msisitizo wa kina ili serikali ilete majibu ya kina na sio vinginevyo.

Ashauriwe kuwa hoja sio imeletwa na nani na yeye alipaswa kujua kuwa,Import Support Commodity ,ilianza mwaka 2006 bunge la mwezi April na liliwekwa bungeni na Dr.Slaa ,natafuta Hansard husika na nitaliweka hapa kwa ushahidi.

Mama ashauriwe kuwa sasa jamii inamfuatilia kila jambo ambalo analifanya na kulizungumza hivyo kauli zake zinachukuliwa kwa uzito mkubwa kuliko ilivyokuwa hapo awali, nisingependa huyu na yeye awekwe kwenye kundi la wasanii ........

Naamini kuwa washauri wake watampa ushauri ili aweze kutoa clarification ya alichosema ili aweze kueleweka, we still need her please.
 
Mama Kilango Naye Mama Msifa Tu,ngoja Yaishe Ya Epa Naye Atakaa Kimya,hapo Kelele Kwa Sabababu Yona Yupo Ndani

Huyu mama tulimpongeza sana kwa kutema cheche.
Lakini kama anasema wamemwibia hoja kwa nn asinge tema cheche hata kwenye mkutano wa nec?au hakuwepo?
 
Guys

Now, go back and remember my words. When this Mama blasted i told you that he is doing what Kimaro did with nyumba za serikali, pre emptying the so called wapinzani before they come with facts and figures. Similar to what Chegeni did with EPA. When Dr Slaa, contributing to budget debate last year raised the EPA issues no one cared. But after he said he will bring the private motion, then it raised their eye brows!. Then before he submitted his motion, Mr. Speaker asked for all the evidences. When he submitted to him the draft motion and some evidences, Mr Spika when to his party kamati ya uongozi. It is there they opted to block the hoja binafsi, then they asked the likes of Chegeni to make a lot of noises and the government to pledge that it working on the matter. Zakhia Meghji by then played the show better! Then Dr Slaa was smartest of them all, he withdrew his hoja binafsi, added some more wine and sent to wananchi as a list of shame. The government was then left naked. Now with this commodity support thing, just go back to bunge hansard, the wapinzani have been raising this issue since the debates in past budget year. Mama Kilango was told that the wapinzani will raise this issue in this session, this time with more loud voice. Then she went into bandwagon ya kusaka umaarufu na kuwawahi wapinzani just as she had promised last year in her speech. But she merely gave a vague allegation of total figure and year. That as during Mkullo budget debate, and Mkullo did not respond to what she raised, he focused on EPA not CIS. But Mama Kilango fear of his part CCM never hold shilingi. But Dr Slaa has come at the right time, ofisi ya waziri mkuu. With facts and figures, now the government is forced to respond. Now Mama Kilango is seeing the stragegy is failed. Aachane na ukada, she should focus on utaifa, it doesnt matter who raised what, but how and what is the impact to the wananchi
Asha

She is ULTRA SELFISH, only thinking of her fame!!
 
Back
Top Bottom