Kilango apasua jipu

KONA YA KARUGENDO: Mama Socrates wa Tanzania Padri Privatus Karugendo Julai 2, 2008

Quote:-

"Panahitajika watu wachache wa kusimama na kutetea ukweli. Utafiti wa haraka unaonyesha kwamba idadi kubwa ya Watanzania inashawishiwa na mawazo ya watu kama kina Anne Kilango, kuliko ya Chitalilo na Mzindakaya."

Hoja yangu ni kwamba kila raia mwema wa Tanzania, hawezi kupuuzia msimamo wa kutafuta na kusema ukweli. Mbegu ya kutafuta na kusema ukweli haiwezi kuoza. Ni hekima kwa viongozi kuanza kusoma alama za nyakati.

Mwandishi wa makala hii anapatikana kwa S. L. P. 114 Magu, Mwanza. Simu: 0754 633122
 
Yule Askofu wa KKKT Stephen Munga na Kilango wote wanampa sifa za kushughulikia mafisadi lakini ukweli ni kwamba hajafanya chochote.

Ni kweli na ni ukweli usiopingingika, Anne ana haki ya kumsifia JK kwani hiyo ni njia ya yeye kujiprotect ilihali anampiga kijembe!kwa maana nyingine Anne anampaka JK mafuta kwa mgongo wa chupa na JK analijua hilo maana sidhani kama hajui kuwa hadi sasa hajafanya jambo lolote kuhusu mafisadi!

Anne ni mzalendo kuliko mimi na wewe! uzalendo wake haupingiki!

Mungu amlinde na sisi tupo nyuma yako mama kwani ni uongo kusema tuwe mbele yako!
Sokomoko.
 
Mkuu Mag3 hebu soma hapa chini uone kuwa sio kweli kwamba wananchi wote wanaamini maneno yenu against mama Kilango,.............


Mkuu FMES,

Watetezi wa Mkapa humu jamvini wanafanya hivyo kwa kusisitiza mazuri aliyofanya Mkapa. Hata hivyo mazuri aliyofanya yanafunikwa na kiwango cha ufisadi uliokubuhu na uliotawala wakati wa utawala wake. Hivyo wengine tunatoa hukumu yake kulingana na uzito huo wa mabaya lakini kamwe hatufuti lolote jema alilotenda kama lipo.

Vivyo hivyo kwa Mama Kilango na ushujaa aliouonyesha kwa kutoa kauli nzito na kali kama alivyofanya. Lakini pamoja na hilo, hicho kitendo chake hakifuti dhambi ya kumtetea kiongozi ambaye hata kwa akili za kawaida anaboronga. Ninajua kwa hili unakubaliana na Mama Kilango na hiyo ni haki yako ambayo huwezi ukanyang'anywa na yeyote yule. Inawezakana wote mnasukumwa kufanya hilo kwa sababu tofauti, lakini ni wazi malengo ni kumpalilia kiongozi ambaye kwa viwango vyetu wengine, ameshindwa kazi. Hiyo nayo ni haki yetu usioweza kutunyang'anya.

Bahati mbaya ni kuwa wakati mwingine tuko tayari kulinda misimamo yetu hata kwa kuingiza mipasho na hoja za nguvu. Hata shujaa kwenye mapambano huweza kujikwaa kwa sababu ni binadamu. Tofauti yangu na wewe iko hapa - mimi nasema amejikwaa, wewe unakataa hawezi kujikwaa.
 
Ni kweli na ni ukweli usiopingingika, Anne ana haki ya kumsifia JK kwani hiyo ni njia ya yeye kujiprotect ilihali anampiga kijembe!kwa maana nyingine Anne anampaka JK mafuta kwa mgongo wa chupa...

Umetoa definition ya mnafiki, msanii.
 
Tofauti yangu na wewe iko hapa - mimi nasema amejikwaa, wewe unakataa hawezi kujikwaa.

Mkuu wacha kuweka maneno mdomoni mwangu, nimesema hivi bado hajajikwaa, atakapojikwaa nitasema lakini siwezi kulazimisha kabla hajajikwaa kama wewe na wenzako, mnavyojaribu kulazimisha kwa nguvu,

Unajua usanii ni pamoja na kujaribu kuilazimisha chuki binafsi kuwa hoja ya siasa against kiongozi uneymchukia na huwezi fanya lolote na hizo chuki zaidi ya ku-create uzandiki, maana huu ndio usanii wenyewe, na ni kuzidi kushuka hadhi ndani ya hii forum, hasa unapojaribu kulazimisha kiongozi kuwa na tatizo wakati halipo!

Ahsante Mkuu!
 
1. Quote:
Originally Posted by sokomoko

Ni kweli na ni ukweli usiopingingika, Anne ana haki ya kumsifia JK kwani hiyo ni njia ya yeye kujiprotect ilihali anampiga kijembe!kwa maana nyingine Anne anampaka JK mafuta kwa mgongo wa chupa...

2. Quote: Kuhani

Umetoa definition ya mnafiki, msanii.


Ukumbi wa Bunge unapokuwa ‘hautoshi': Ndimara Tegambwage

1. SITAKI ukumbi wa Bunge mjini Dodoma uwe mdogo kiasi cha Anne Kilango Malecela, mbunge wa Same Mashariki kutamka wazi kwamba "hapatatosha."
Kumefurika. Joto limetawala. Hewa haitoshi. Anne Malecela anahema. Anatweta mithili ya aliyemaliza mbio fupi zenye ushindani mkali.

2. Ni Anne aliyekumbusha pia juu ya Sh. 216 bilioni zilizokopwa mwaka 1992, kupitia mpango wa uagizaji bidhaa kutoka nchi za nje, ambao wamekataa au wameshindwa kuzirejesha.

3. "Patakuwa hapatoshi hapa," aling'aka Anne "iwapo fedha hizo hazitarudishwa" na majina ya wachotaji kutajwa hadharani. Kumbe tatizo siyo viti au eneo la ukumbi wa bunge. Tatizo ni kwamba utazuka mgogoro mkubwa, mvutano, patashika ya fulana na sidiria kuchanika.

4. Na tayari pameanza kuwa finyu. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake, Anna Abdallah (Msekwa), mbunge viti maalum, ameanza kukosa hewa. Juzi Ijumaa, badala ya kujenga hoja yake, alisimama bungeni na kuanza kuchambua Anne Malecela tena kwa kauli dhaifu

5. Tuachane na kuhema kwa Anna Abdallah na kutokwa jasho kwa Mkulo. Turejee kwa Anne Kilango. Hii ni mara ya kwanza kwa mbunge kuonya serikali kwa ukali kuhusu ufisadi. Lakini Anne anataja matukio mawili ya jumla ya Sh. 349. Kama kiasi hicho kitafanya bungeni pasitoshe, basi yakitajwa makubwa zaidi baadhi ya wabunge watakimbia mijadala; baadhi watazimia kwa kukosa pumzi; wengine wataaga dunia na bunge litalipuka kwa moto.

6. Kuweni na akina Anne 10 tu. Waiambie serikali kuwa bilioni 40 za kununua ndege ya rais zilitumika vibaya na waishinikize iiuze! Hakika bungeni hapatatosha.

7. Hata haya ni machache. Kuna mengi zaidi. Lakini kama wabunge watakuwa thabiti na kudai majibu kama Anne Kilango Malecela; kama serikali haitatoa majibu hayo, hakika ukumbi wa bunge patakuwa hapatoshi.

Na basi pasitoshe. Lakini sharti serikali itoe majibu sahihi kwa maswali ya wabunge. Anne ameanza na mawili: EPA na mikopo. Fedha zirudishwe. Wahusika watajwe. Mengine yadaiwe hatua kwa hatua.
Ukweli ukiwekwa wazi na majibu sahihi kutolewa, joto ndani ya bunge litapungua au hata kuisha. Patakalika. Pataheshimika. Hata Anne ataona panatosha.


(Makala hii itatoka katika gazeti la Tanzania Daima Jumapili tarehe 22 Juni 2008. Mwandishi anapatikana kwa simu: 0713 614872; imeili: ndimara@yahoo.com) Mwandishi ndimara tegambwage Muda 2:49 AM
 
Kilango apasua jipu

2008-07-17 12:07:12
Na Victor Kwayu, PST, Same
.......
``Rais wa nchi ameonyesha kukerwa na hali hii ya vitendo vya wazi kwa baadhi ya viongozi... hatua hiyo inatupa moyo kwa sisi wabunge kuendelea na mapambano haya kwa ajili ya kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania.``

SOURCE: Nipashe

FMES mimi hapo (highlighted) ndipo penye utata na naamini mama amejikwaa kidogo sasa mwenzangu nakuomba nitafsirie ulivyofahamu....

Mama Kilango anafanya kazi nzuri sana lakini atpojikwaa ni muhimu kumkosoa....usisahau kuwa yeye ni binadamu.

Tumeshaona makosa haya ya viongozi kuwa tuna wapa majisifa na hata wakti wa kikosea madhara yake yanakuwa mabaya hapo baadaye
 
``Rais wa nchi ameonyesha kukerwa na hali hii ya vitendo vya wazi kwa baadhi ya viongozi... hatua hiyo inatupa moyo kwa sisi wabunge kuendelea na mapambano haya kwa ajili ya kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania.``

Rais wetu amefanya mazuri na mabaya katika urais wake in two years, sasa what is mazuri na what is mabaya ndipo, tunapotofautiana na ndipo unapotofautiana na mama Kilango, sasa kutofautina kwa hoja hakumfanyi mwenye hoja tofauti na yako awe msanii, au mnafiki, huo ninaita ni mawazo ya kijuha, nashangaa hata kuyasema hapa kwenye uwanja mkubwa kama huu!

FMES mimi hapo (highlighted) ndipo penye utata na naamini mama amejikwaa kidogo sasa mwenzangu nakuomba nitafsirie ulivyofahamu....Mama Kilango anafanya kazi nzuri sana lakini atpojikwaa ni muhimu kumkosoa....usisahau kuwa yeye ni binadamu.

Utata sio dhambi ya kisiasa, mama Kilango hajajikwaa bado kabisa, akijikwaa tutasema na hoja nziro sio kulazimisha, hoja ya mama Kilango kuhusiana na kazi ya rais so far haikubaliani na wewe, lakini inakubaliana na wananchi wengi na nimekuwekea mifano mingi hapo juu, sasa sielewi tatizo la hoja yako lilipo maana silioni, mama Kilango anatofautina na mawazo yako on kazi ya rais, sasa sielewi hii inbavyokufanya uwe msanii, au mnafiki, ndipo ninasema kuwa wewe na wenzako hamna hoja, ila mna chuki binafsi, na ni hatari sana taifa letu kuongoizwa na watu kama wewe na wenzako, maana asiyekubalina na maoni yenu kwa taifa basi ni msanii na mnafiki, ndio maana sisi huwa tunasema kuwa hakuna hope Tanzania, labda another generation, lakini sio hii na this kind of thinking!

Tumeshaona makosa haya ya viongozi kuwa tuna wapa majisifa na hata wakti wa kikosea madhara yake yanakuwa mabaya hapo baadaye[/SIZE
]

Kupata ajli ya gari haina maana sasa ni kuacha kuendesha, wewe unapaswa kulijua hili sana, ninarudia kuwa huwa tunategemea ushauri wa busara katika kuwasiadia viongozi wetu, lakini haya matusi ya nguoni ni dalili za ulofa na mufilisi wa hoja za siasa kwa taifa letu, haiwezekani kila mama anaposema tu basi wewe una tatizo, utajaribu kila njia kupotosha ili utimize dhamira yako, mimi nilifkiri wewe ni mswalihina swafi kumbe ndio haya?

Tifa letu haliwezi kuendelezwa na chuki ziszokuwa na msingi, kama una beef naye ni kusema tu upewe nafasi ya kuongea naye muyamalize, lakini kwa haya unayofanya hapa ni waste of time na humsaidii mwananchi wa kawaida anayetaka kujua ukweli wa viongozi wake, kwani huwezi gfananisha Mama kilango na Mtikila!

Ahsante Mkuu!
 
...... ndipo ninasema kuwa wewe na wenzako hamna hoja, ila mna chuki binafsi,

Tifa letu haliwezi kuendelezwa na chuki ziszokuwa na msingi, kama una beef naye ni kusema tu upewe nafasi ya kuongea naye muyamalize, lakini kwa haya unayofanya hapa ni waste of time na humsaidii mwananchi wa kawaida anayetaka kujua ukweli wa viongozi wake, kwani huwezi gfananisha Mama kilango na Mtikila!
Ahsante Mkuu!

Na ni hatari sana taifa letu kuongoizwa na watu kama wewe na wenzako, maana asiyekubalina na maoni yenu kwa taifa basi ni ana chuki binafsi
 
Quote:- Mwanatanu/Kuhani

Na ni hatari sana taifa letu kuongoizwa na watu kama wewe na wenzako, maana asiyekubalina na maoni yenu kwa taifa basi ni ana chuki binafsi

KONA YA KARUGENDO: Mama Socrates wa Tanzania Padri Privatus Karugendo Julai 2, 2008

Quote:- Karugendo

"Panahitajika watu wachache wa kusimama na kutetea ukweli. Utafiti wa haraka unaonyesha kwamba idadi kubwa ya Watanzania inashawishiwa na mawazo ya watu kama kina Anne Kilango, kuliko ya Chitalilo na Mzindakaya."

Quote:- Ndimara

Hii ni mara ya kwanza kwa mbunge kuonya serikali kwa ukali kuhusu ufisadi. Lakini Anne anataja matukio mawili ya jumla ya Sh. 349. Kama kiasi hicho kitafanya bungeni pasitoshe, basi yakitajwa makubwa zaidi baadhi ya wabunge watakimbia mijadala; baadhi watazimia kwa kukosa pumzi; wengine wataaga dunia na bunge litalipuka kwa moto.

6. Kuweni na akina Anne 10 tu. Waiambie serikali kuwa bilioni 40 za kununua ndege ya rais zilitumika vibaya na waishinikize iiuze! Hakika bungeni hapatatosha.

Mkuu tizama maoni ya wananchi ambayo ni tofauti na yako, lakini tuko nao ukurasa mmoja! Kwenye ukweli uongo hujitenga tena mbali sana ona mwenyewe mkuu!

Hivi karibuni nilikuwa kwenye mitaa huko majuu na mama Kilango, yaani tumetembea kama block tatu hivi kuna kundi la watu linatufuata nyuma kwa muda mrefu, kuja kugeuka ni wabongo wakasema walijua kuwa ni yeye mama Kilango, wanaomba angalau kupiga picha naye,

siku hizi hata kwenda sokoni bongo hawezi tena maana akiingia tu wananchi huanza kumzunguka kwa furaha, mkuu wangu acha tu! sisi tunamuombea tu Mungu amlinde an aednelee na ushujaa wa taifa alionao sasa, maana tunauhitaji sasa kuliko anytime in the past!
 
Mkuu tizama maoni ya wananchi ambayo ni tofauti na yako, lakini tuko nao ukurasa mmoja! Kwenye ukweli uongo hujitenga tena mbali sana ona mwenyewe mkuu!

Hivi karibuni nilikuwa kwenye mitaa huko majuu na mama Kilango, yaani tumetembea kama block tatu hivi kuna kundi la watu linatufuata nyuma kwa muda mrefu, kuja kugeuka ni wabongo wakasema walijua kuwa ni yeye mama Kilango, wanaomba angalau kupiga picha naye,

siku hizi hata kwenda sokoni bongo hawezi tena maana akiingia tu wananchi huanza kumzunguka kwa furaha, mkuu wangu acha tu! sisi tunamuombea tu Mungu amlinde an aednelee na ushujaa wa taifa alionao sasa, maana tunauhitaji sasa kuliko anytime in the past!

Unanikumbusha mbali kweli kweli. Aliwahi kuwepo mtu anabebwa bila kuruhusiwa kukanyaga chini kwa jinsi wananchi walivyomchangamkia wakati huo. Mkuu wa kaya mwenyewe tuliwahi kuambiwa kachaguliwa na Mungu hivyo ukombozi umefika na shida na mateso vimepewa mgongo. Nakumbuka orodha ndefu ya wabunge machachari ambao eti walitikisa serikali kumbe "it was all like a poor player who struts and frets his way on the stage and then is heard no more" (Shakespeare).

Orodha ni ndefu mkuu, na laiti ungefungua macho japo kidogo tu ungeelewa na kutambua mashaka yetu yanatokana na nini. Mimu simhukumu Mama Kilango hata kidogo kwa sababu ameonyesha ujasiri usio mfano, in fact I am proud of her stand. Lakini kwa kuwa umeshatuweka kwenye kundi la wachache wenye chuki binafsi wakati wengine hata hutujui kabisa, hiyo nuru kwako itabakia giza totoro. Tunamwombea Mama Kilango Mungu azidi kumjalia.
 
hiyo nuru kwako itabakia giza totoro

Nuru na giza ndani ya bina-adam huonyeshwa na mbinu anazotumia kujenga hoja, na pia huonyeshwa na maneno ya yule bina-adam,

kabla hata ya kuonwa kwa vitendo vyake, na bina-adam wengine!
 
Jakaya Mrisho Kikwete Ni Rais, Narudia Wakuu Wangu Kuwa Jakaya Mrisho Kikwete Ni Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.

Yeyote Yule Ambaye Si Mke Wake Au Babake Hana Nafasi Ya Kumuita Jakaya Au Kikwete Always Ni Mh.rais Au Ndg.rais, Hiyo Ni Standard Ya Kidunia Ambayo Hata Mwenyezi Mungu Ameibariki.

Conclusion Yangu: Awe Kilango, Lipumba,mrema,rostam,lowasa,malecela,mkapa,mwinyi,mama Mariah Na Sisi Sote , Ni Wajibu Wetu Kumheshimu Rais Wetu, Ni Wajibu Wetu Kumsaidia Kiustaarabu Rais Wetu,kumshauri Kwa Heshima Rais Wetu,kumfanyia Kazi Kwa Adabu Rais Wetu, Kumheshimu,kumuamini,kumsikiliza Na Zaidi Kumuimarisha Rais Wetu. Hivyo Si Hekima Wala Nidhamu Kumdhalilisha Rais Just B'coz Kuna Rushwa Imetapakaa Nchini Mwake,yeye Ndiye Bora Ktk Miaka 5 Hii Tuliyompa,tusikufuru Jitihada Zake Na Wale Wanaomsaidia Kupambana Ktk Vita Nyingi Za Kifisadi Na Umaskini Nchini. Kilango Anaonyesha Wajibu Wake Ktk Kutii Mamlaka Alizopewa Ndg.rais Jakaya Mrisho Kikwete

Ulichoandika hapo juu bila shaka hujakifanyia uchambuzi yakinifu.
Heshima hainunuliwi kwa pesa wala dhahabu, bali matendo yako tu ndiyo yataweza kukuletea heshima mbele ya jamii.

Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee walimpa Jakaya hadhi na heshima na kumpa kura zao ili awe Raisi wetu wa awamu ya nne. Na kama sikosei alipata karibu 80% ya kura zote zilizopigwa.
Na katika hotuba ya kwanza pale Dodoma alionesha kabisa ameyaelewa vyema matatizo na kero za watanzania.

Lakini mambo yanavyokwenda na yanavyoendeshwa na serikali ya Jakaya yanatisha na yanaipeleke nchi kubaya. Wizi na rushwa vimekithiri ndani ya serikali na yeye kama jemedari mkuu anashindwa kuchukua hatua za maana.
Wananchi wa Tanzania wamechoka na upuzi huu kwani nchi yetu inakwenda kubaya.
Ni vyema na hekima mwizi kumwita mwizi, huwezi kumwita mwizi daktari hiyo itakuwa si heshima.
Hali ilivyo kwa sasa ni kwamba Raisi anawakumbatia wezi na wala rushwa na kwa misingi hiyo basi hatutaona haya wala woga kumwita Jakaya mwizi na mla rushwa kama hao wenzake. Tutakuwa hatumtendei haki kumwita mwadilifu wakati si mwadilifu, na bila kuficha uongozi umemshinda ni bora kuachia ngazi na kurudi Bagamoyo kulima mananasi na kuendesha shughuli za misikiti.
 
Hivi JF bado kuna mtindo wa kung'ang'aniza watu wafikirie direction moja? Mmmh!

Tangu nimsikie KLH interview yake, na hii article hapo juu, inaonyesha kweli bado tuna njia ndefu kama kweli huyu ndio mkombozi wa waTanzania (as FMEs and a few others are forcing everyone to believe).

Kutokana na hii stori hapo mwanzo, mimi naona, aidha Mama Kilango ana sarcasm ya hali ya juu, or more like irony. Tatizo anatoa speech kwa watu ambao hawawezi ku-decipher hiyo irony. Kwa mtu anayeweza kudecipher, basi hawezi kukubaliana na anachosema.

Anang'ata na kupuliza. Either she is very good, or she is just plain clumsy. I believe she is deliberately clumsy...but divertive, set-up kinda clumsy..which makes her very good. You go figure. Its the beauty of Tanzanian politics and all those that get tagged along and taken for a sweet ride.
 
EYE SPY: Viva Anne Kilango Malecela!

June 22, 2008 [/EYE SPY: Viva Anne Kilango Malecela!

ADAM LUSEKELO DAR ES SALAAM

I USUALLY don't watch the Bunge performances. I once tried to watch the show. Only to end up waking up with a start. Someone in the House had successfully put me to sleep. But on Thursday evening I was in my favourite watering hole when I saw Aunt Anne Kilango Malecela performing. She basically said that the Bunge should stop taking crap from the government in the on-going cover-up of the looted EPA funds.

The entire United Republic of Tanzania knows who did the stealing. It is the top dogs in the government who stole the money. They did that with the collusion of top mafia groups in the government and business con-men. The probe team which was set up to check out the EPA scandal is prevaricating to give us the names of the unarmed robbers. Eti, they don't want to jeopardize the evidence.

They are simply not saying the truth. We all know that the list of names reads like a who-is-who in the government. Aunt Anne Kilango Malecela demanded the names of the thieves. ''If the EPA money will not be returned, it will not be an easy ride in this House. A few of us still love this country and are ready to die for the cause!''She said with great emotion. I checked out her body language and came to the conclusion that Aunt Anne meant what she said. Body language is a discipline we hack to learn. Once you get the hang of it is very easy to tell if someone is lying or not.

There are our 'honourables' in Dodoma who simply go there to waste the oxygen in the House. Most go there for money, of course. But if you check their body language you can tell that the guy who is droning on and on simply has nothing to say. Anyway thank God we are getting there. There is real anger to the government that things cannot continue as they are. Tanzanians cannot forever live with this impunity and piles upon piles of lies! Aunt Anne also talked about another scandal most of us had forgotten about some 216 billion from the Commodity Import Support (CIS) fund back in the 1992.

So the thieving game did not start yesterday. It has been going on for ages. You sometimes wonder do those aspiring public officers go for it to serve Tanzania or for the money? By the end of Aunt Anne's show the entire club cheered loudly. I can sense that the Bunge now becoming a House worth listening to. Increasingly there are now MPs appearing who are actually having something to say and not just talking hot air!

mailto:Mbwene2@yahoo.com
 
A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

--------------------------------------------------------------------------

Mama Malecela,

I have seen and read about the anger and hatred that mafisadi in Tanzania are constantly making to getting into what you do in the parliament. I have just got a complete picture of how Serukamba and his sore losers tried to demonize you and your work in the last ccm NEC. It has been leaked to me that mafisadi in the ruling party are planning a hit job on you. It has (by the name of who... I dunno) just been handed to me - a confidential but crazy plan to wipe out your political career.

Mama Malecela, this is just the time for you to know that I (and everybody I know) am with you on everything you do. Your work is outstanding and our country is very proud to have you mama. We all love you and are constantly praying for you.

This is for you Mama Anne Kilango Malecela.
May GOD and all the gods bless your work and protect your soul.

Amen!
 

Hivi karibuni nilikuwa kwenye mitaa huko majuu na mama Kilango, yaani tumetembea kama block tatu hivi kuna kundi la watu linatufuata nyuma kwa muda mrefu, kuja kugeuka ni wabongo wakasema walijua kuwa ni yeye mama Kilango, wanaomba angalau kupiga picha naye......

Mkuu hebu nikukumbushe kidogo hapa ni.... na tuna.......
logo.gif


Sasa mwenzetu kama una u karibu na mama ni jambo zuri ....lakini JF watu wengi wanakemea ile nidhamu ya kubebana....tumechoka nayo........
 
Sasa mwenzetu kama una u karibu na mama ni jambo zuri ....lakini JF watu wengi wanakemea ile nidhamu ya kubebana....tumechoka nayo........[/SIZE
]

Kama ambavyo wengine tulivyochoka na mashambulizi bila hoja za msingi na kujaribu kugeuza chuki za binafsi kuwa hoja za kisiasa bila mafanikio, tunajua kuwa tatizo ni Kiiwra maana wengine tuna masilahi huko, lakini mama Kilango ameahidi kuwa ni lazima irudishwe, najua ndio source ya hizi chuki, lakii hebu kula elimu ya bure hapa chini:-

Quote: Mwafrika Wa Kike

"A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

Mama Malecela,

I have seen and read about the anger and hatred that mafisadi in Tanzania are constantly making to getting into what you do in the parliament. I have just got a complete picture of how Serukamba and his sore losers tried to demonize you and your work in the last ccm NEC. It has been leaked to me that mafisadi in the ruling party are planning a hit job on you. It has (by the name of who... I dunno) just been handed to me - a confidential but crazy plan to wipe out your political career.

Mama Malecela, this is just the time for you to know that I (and everybody I know) am with you on everything you do. Your work is outstanding and our country is very proud to have you mama. We all love you and are constantly praying for you.

This is for you Mama Anne Kilango Malecela.
May GOD and all the gods bless your work and protect your soul.

Amen!"
 
Back
Top Bottom