jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Kwahiyo Kilaini was right na kwamba tunatakiwa tuingie kwenye vurugu za kidini kwasababu Mungu alitaka iwe hivyo?Mbona kwenye arguments zake hakuliweka hilo?Umesoma bandiko langu #217 kwenye angalizo?Umesoma kwamba alisema ni chaguo la Mungu kwasababu eti ametoa uhuru wa habari?Umesoma pale nilipoipondelea mbali hiyo hoja ya uhuru wa habari aliyoitumia Kilaini?Mungu huonyesha mambo yake kupitia watu wake.Ndiye chaguo la Uhuru mpya toka kwa mafisadi na ulegelege wetu Watz. Hata shetani aliumbwa na Mungu.Tutakombolewa kupitia Jk na serikali yake dhaifu ila yeye ameandaliwa moto kitambo kijacho.Askari aliyeasi hupata adhabu kali.
Umesoma kuhusu wasaidizi kwamba ndo tatizo na si yeye JK?Umesoma kwamba ni msadizi wake(Pinda) ndiye aliyeumaliza huo mgogoro wa kuhusu misamaha ya kodi?