Kila zoezi la Uchaguzi Mkuu likiisha, Wazee na Masheikh wa Zanzibar lazima waende wakafanye kikao na Maalim Seif. Hii inatoa tafsiri gani?

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Saalam!

Nimekuwa nikitafakari na nafsi yangu kuwa hawa wazee mbona hufanya vikao kila unapoisha Uchaguzi na siyo kabla?

Hii ina maana gani, inatoa tafsiri gani?

Mbona hawaendi kufanya vikao na Mgombea wa CCM?

Wanakuwa wamebeba ujumbe gani au wanakuwa wamegundua nini kwenye matokeo ya Uchaguzi?

Na kwanini haya hayafanyiki Tanganyika?

Maana yako kuna dhulma kwenye chaguzi zilizopita

Karibuni
 
Back
Top Bottom