Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,666
- 729,794
Ni ule wakati wa Nyerere, akatokea mama mmoja jasiri sana Sara Simbaulanga, huyu mama very intelligent akaizidi maarifa bank akapiga ndefu sana inasemekana ni kati ya milioni mia 6 mpaka b1 (mwenye taarifa sahihi ataziweka hapa)hii ilikuwa kashfa kubwa sana nyakati zile iliyotikisa nchi vilivyo...Mchonga habari nyingine alimdaka na kumfunga na kumfilisi mali zake zote
Kisha zikafuata enzi za mzee wa ruksa watu wakapiga vilivyo , Akaja Ben akakamata wa kwake aliowagundua wamemzidi ujanja kina Nanaila Kiula na kashfa ya barabara ya morogoro nk na wengineo
Akaja mzee wa visasi , akakamata mawaziri wa mtangulizi wake na kuwaweka ndani kashfa za matumizi mabaya ya madaraka.....lakini ni katika awamu yake ambapo vitabu vya historia viliandikwa , watu wakapiga na kupiga hasa....hazina ilikaushwa hasa Benki kikuu kukawa hovyo kabisa ni zama zake huyu watu waliota mapembe marefu ni katika utawala waje vijana wengi walikufa walipotea na wengine kuteswa vibaya mno na kuachwa na ulemavu wa maisha
Historia huandikwa na historia na historia hufutwa na historia
Haya yanayofumuliwa sasa ni matokeo ya kutojali kuwajibika, kukosa uzalendo, ubinafsi tamaa na kujipenda kulikopitiliza, inaandikwa historia mpya ..pengine ya kutukuka!!!lakini ni mapema mno kusema lolote. ...kwasasa tunaweza tu kusema kila zama na vitabu vyake