Kila wiki Wazazi wananenda Shule kuoshwa Miguu na watoto wao

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
1570694566922.png
 
Bongo hapo mtu unakuta kabeba mzazi si wake maana kwa utukutu anaona kumleta mzazi ni sawa na kumleta hakimu akuhukumu.
 
Nawaona wanaume wa Daslam wanavyo tamani hiyo kazi ya kifanya...teh
 
Hiyo ni symbolic tu na wala haiakisi uhalisia, hata picha yenyewe inaonyesha ni watoto wa kidosi na wamama wa kidosi.

Mambo ya wazazi na watoto ni magumu sana na hayana majibu rahisi, mfano ndiyo ni wazazi wangu wamenilea lkn je, muhimu klk Mke na Watoto wangu?

BTW sina mke wala mtoto!
 
Back
Top Bottom