Kila wiki Wazazi wananenda Shule kuoshwa Miguu na watoto wao

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,627
Points
2,000

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,627 2,000
Bongo hapo mtu unakuta kabeba mzazi si wake maana kwa utukutu anaona kumleta mzazi ni sawa na kumleta hakimu akuhukumu.
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
19,772
Points
2,000

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
19,772 2,000
Hiyo ni symbolic tu na wala haiakisi uhalisia, hata picha yenyewe inaonyesha ni watoto wa kidosi na wamama wa kidosi.

Mambo ya wazazi na watoto ni magumu sana na hayana majibu rahisi, mfano ndiyo ni wazazi wangu wamenilea lkn je, muhimu klk Mke na Watoto wangu?

BTW sina mke wala mtoto!
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
32,066
Points
2,000

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
32,066 2,000
Sijui Kingereza lakini sijaona mahali walipo andika KILA WIKI WANAOSHWA MIGUU

Kila wiki Wazazi wananenda Shule kuoshwa Miguu na watoto wao

Ndio mana mukawepo Dada.

Sababu kama mie nilipooana kichwa cha habari sijahangaika kuangalia maneno ya humo ndani zaidi ya kuangalia hiyo picha. 😀
 

Forum statistics

Threads 1,344,043
Members 515,313
Posts 32,805,779
Top