Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Jamani muda si mrefu wanaume huko China watabaki mabachela miaka yao yote baada utafiti wa kushangaza kuonyesha kwamba kwa kila watoto 119 wanaozaliwa 100 ni wanaume, kwa maana hiyo 19 tu ni wanawake! Sasa wale wanaooa wanawake wawili wawili, watatu watatu au wanne wanne wako hatarini kuporwa wake zao siku za usoni (just thinking loudly!).
SOURCE: http://news.bbc.co.uk/2/hi/asia-pacific/8451289.stm
SOURCE: http://news.bbc.co.uk/2/hi/asia-pacific/8451289.stm