Kila Watoto 119 Wanaozaliwa China, 100 ni Wanaume!

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,210
Likes
382
Points
180

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,210 382 180
Jamani muda si mrefu wanaume huko China watabaki mabachela miaka yao yote baada utafiti wa kushangaza kuonyesha kwamba kwa kila watoto 119 wanaozaliwa 100 ni wanaume, kwa maana hiyo 19 tu ni wanawake! Sasa wale wanaooa wanawake wawili wawili, watatu watatu au wanne wanne wako hatarini kuporwa wake zao siku za usoni (just thinking loudly!).

SOURCE: http://news.bbc.co.uk/2/hi/asia-pacific/8451289.stm
 
Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
28
Points
0

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 28 0

Embu angalia vizuri hiyo niliyoweka katika rangi nyekundu!
hapo umekosea mahesabu yako! kwa mahesabu yako unamaanisha katika kila watoto 119 wanaozaliwa basi wasichana ni 19 na wavulana ni 100 kitu ambacho ni kinyume na walivyoelezea wao!

Wao wanasema katika kila wasichana 100 wanaozaliwa basi wanazaliwa pia wavulana 119. Kwahiyo unaweza kusema tu kwamba idadi ya wavulana inazidi ya wasichana kwa 19.

Nyongeza:

Nadhani utafiti wao unazungumzia 'study boundary' ya wasichana 100; kwahiyo ukibadili study boundary pia idadi ya wavulana itabadilika vile vile.
 
Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,210
Likes
382
Points
180

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,210 382 180

Embu angalia vizuri hiyo niliyoweka katika rangi nyekundu!
hapo umekosea mahesabu yako! kwa mahesabu yako unamaanisha katika kila watoto 119 wanaozaliwa basi wasichana ni 19 na wavulana ni 100 kitu ambacho ni kinyume na walivyoelezea wao!

Wao wanasema katika kila wasichana 100 wanaozaliwa basi wanazaliwa pia wavulana 119. Kwahiyo unaweza kusema tu kwamba idadi ya wavulana inazidi ya wasichana kwa 19.

Nyongeza:

Nadhani utafiti wao unazungumzia 'study boundary' ya wasichana 100; kwahiyo ukibadili study boundary pia idadi ya wavulana itabadilika vile vile.
You are absolutely right, nilipitiwa wandugu, sikuwa na nia ya kupotosha. Hata hivyo idadi ya watoto wanaume wanaozaliwa ni wengi kuliko wanawake: "119 boys born per 100 girls. Rises to 130 boys per 100 girls in some rural areas."
 
Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
28
Points
0

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 28 0
You are absolutely right, nilipitiwa wandugu, sikuwa na nia ya kupotosha. Hata hivyo idadi ya watoto wanaume wanaozaliwa ni wengi kuliko wanawake: "119 boys born per 100 girls. Rises to 130 boys per 100 girls in some rural areas."
"119 boys born for every 100 girls. Rises to 130 boys for every 100 girls in some rural areas."
 
October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,147
Likes
5
Points
135

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,147 5 135
Hawa wachina lazima kuna aina fulani ya chakula wanachokula kinachosababisha kuzaliwa wanaume kwa wingi,sio bure.
Haya ndio madhara ya one child Policy iliyoko China.
Kwa sababu ya hii sheria, baadhi ya Wazazi hupendelea mtoto wa kiume na mara nyingi wakifanya ultra sound na kugundua mimba iliyotunga ni mtoto wa kike baadhi yao hutoa mimba hiyo, matokea ndio hayo yanayoonekana.

Hii ni mbaya na ukatili.
 
bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
211
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 211 160
Haya ndio madhara ya one child Policy iliyoko China.
Kwa sababu ya hii sheria, baadhi ya Wazazi hupendelea mtoto wa kiume na mara nyingi wakifanya ultra sound na kugundua mimba iliyotunga ni mtoto wa kike baadhi yao hutoa mimba hiyo, matokea ndio hayo yanayoonekana.

Hii ni mbaya na ukatili.
hili nalo neno, sasa October swali kwako kwa kunisaidia mimi, kwa nini wanapendelea watoto wa kiume kuliko wa kike?? (am just curious)
 
Forum statistics

Threads 1,191,647
Members 451,726
Posts 27,716,446