Kuna watu hupenda kudandia mada bila kufanya uchunguzi, ila ningependa sana utoe maoni yako kutokana na utafiti wako wala siyo kupinga tu au kumshambulia mtu bila sababu ya kimantik.
Uchaguzi wa mwaka 2005 ulipelekea nchi kupoteza mabilioni ya pesa yaliyokwapuliwa BoT kwenye akaunti ya EPA...tukadanganywa kwamba wahusika wamerudisha pesa na wengine wamepandishwa kizimbani,mwisho gavana wa benki kuu akafariki hadi leo kimyaaaaa....ni ukweli usiopingika pesa ile ilitumika kwenye uchaguzi. wakubwa walihusika kuibia nchi.
Nimependa kutoa mfano mdogo kuweka wazi kwamba kila ufisadi mkubwa wakubwa au viongozi waandamizi wanajua.
sasa mara Richmond, mara escrow, mara Buzwagi meremeta na kadhalika hakuna kisichojulika kila wizi umeasisiwa na wenyewe waache kutudanganya kama wangeamua kusiwepo na wizi ingewezekana wana kila chombo cha kulinda wizi usitokee