Elections 2015 Kila uchaguzi unapoteza kura yako, hujachelewa badili maamuzi leo mpe Magufuli kesho

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,634
30,000
Kuanzia 1995,2000,2005,2010, Kuna Wenye Record Mbaya, Ebu Futa Record Hiyo Mpgie Magufuli Angalau Upate Tick Moja, Na Wale Ambao Ni Uchaguz Wao Wa Kwanza Mpe Magufuli Ili Usianze Na Record Mbaya Ya Kupoteza Kura

Huyo Lowassa ana kazi maalumu hapo UKAWA akimaliza Kwa mujibu wa karatasi nazoona hapa atarudi CCM kabla ya uchaguzi wa 2022 na mbaya zaidi atahama mwingine CCM Kwenda Upinzani hiyo 2020. Kuwavuruga usipoteze kura yako weka Kwa Magufuli

Inasemekana kwamba kuna Muhaya mwingine anaandaliwa kuingia ikulu 2025 na Muda si mrefu anapewa ukuu fulani kwenye wizara Alafu awaomgoze nyote ,

Achana na mambo ya kupoteza kura tu Mpeni magufuli
 
Ni ujinga kudanganywa/kuahidiwa na chama kile kile miaka nenda rudi, ni afadhali kama ni kudanganywa nidanganywe na chama kingine. Kumbuka asiye kuwa tayari kujaribu kitu tofauti maishani mwake hawezi pata mafanikio bora.
 
Hata nikifa leo kamwe kura yangu siiipeleki ccm na sina history ya kuwapigia kura CCM. Full stop
 
Kwa mada hii kidogo tu kuna kitu nimejifunza. Nikweli Mh. Lowassa alishinda uchaguzi. Ila haya mafedhuli yanajifanya yanajua kuchezea haki za watanzani. Mungu atawalaani ipo siku yaja
 
Ok ila Kama mmeshapanga Rais Kwanini unasumbuka kutwa kutwambia tusiharibu kura
Kuanzia 1995,2000,2005,2010, Kuna Wenye Record Mbaya, Ebu Futa Record Hiyo Mpgie Magufuli Angalau Upate Tick Moja, Na Wale Ambao Ni Uchaguz Wao Wa Kwanza Mpe Magufuli Ili Usianze Na Record Mbaya Ya Kupoteza Kura

Huyo Lowassa ana kazi maalumu hapo UKAWA akimaliza Kwa mujibu wa karatasi nazoona hapa atarudi CCM kabla ya uchaguzi wa 2022 na mbaya zaidi atahama mwingine CCM Kwenda Upinzani hiyo 2020. Kuwavuruga usipoteze kura yako weka Kwa Magufuli

Inasemekana kwamba kuna Muhaya mwingine anaandaliwa kuingia ikulu 2025 na Muda si mrefu anapewa ukuu fulani kwenye wizara Alafu awaomgoze nyote ,

Achana na mambo ya kupoteza kura tu Mpeni magufuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom