Kila uchaguzi unapoteza kura yako, hujachelewa badili maamuz leo mpe Magufuli kesho


britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
10,754
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
10,754 2,000
Kuanzia 1995,2000,2005,2010, Kuna Wenye Record Mbaya, Ebu Futa Record Hiyo Mpgie Magufuli Angalau Upate Tick Moja, Na Wale Ambao Ni Uchaguz Wao Wa Kwanza Mpe Magufuli Ili Usianze Na Record Mbaya Ya Kupoteza Kura
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
10,754
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
10,754 2,000
Maana Hata Wapga Penati Wanaumia Wakikosa Penati Ya Kwanza
 
L

laurent Msembeyu

Senior Member
Joined
Oct 5, 2015
Messages
121
Points
225
Age
53
L

laurent Msembeyu

Senior Member
Joined Oct 5, 2015
121 225
Kamhamasishe mke wako ampe kura Magufuri, sisi wengi tutampa Lowassa
 
P

Penal

Senior Member
Joined
Jun 17, 2015
Messages
179
Points
170
P

Penal

Senior Member
Joined Jun 17, 2015
179 170
Kuhamia ccm ni sawa na kuhamia timu ya jushindi...nakumchagua magufuli ni kkusherekea ushindi tayari
 
P

pwaguzo

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
106
Points
0
P

pwaguzo

Senior Member
Joined Mar 25, 2015
106 0
Kura yangu na familia yangu ni kwa Lowassa. Na kesho ndio mtajua nguvu ya uma ipoje
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,875
Points
2,000
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,875 2,000
Ni ujinga kudanganywa/kuahidiwa na chama kile kile miaka nenda rudi, ni afadhali kama ni kudanganywa nidanganywe na chama kingine. Kumbuka asiye kuwa tayari kujaribu kitu tofauti maishani mwake hawezi pata mafanikio bora.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,410
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,410 2,000
Hata nikifa leo kamwe kura yangu siiipeleki ccm na sina history ya kuwapigia kura CCM. Full stop
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
10,754
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
10,754 2,000
Wenye mkosi walikosa
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
13,579
Points
2,000
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
13,579 2,000
Endeleeni kuishabikia CCM
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
13,579
Points
2,000
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
13,579 2,000
Walaaniwe walioipigia kura CCM
 
kinguo

kinguo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
434
Points
500
Age
48
kinguo

kinguo

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
434 500
Kwa mada hii kidogo tu kuna kitu nimejifunza. Nikweli Mh. Lowassa alishinda uchaguzi. Ila haya mafedhuli yanajifanya yanajua kuchezea haki za watanzani. Mungu atawalaani ipo siku yaja
 
M

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
2,288
Points
2,000
M

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
2,288 2,000
Kwa lipi nimpe?
 
Kasinja jr

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
950
Points
1,000
Kasinja jr

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
950 1,000
Bado una msimamo ule ule? Teh teh the JPM wanyorosheeee
 
Kasinja jr

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
950
Points
1,000
Kasinja jr

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
950 1,000
Bado una msimamo ule ule? Teh teh the JPM wanyorosheeee
 
M

mumby

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2014
Messages
2,837
Points
2,000
M

mumby

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2014
2,837 2,000
Kupiga kura ilikuwa mwisho hiyo hiyo 2015 sipigi tena
 
B

Bombabomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2017
Messages
637
Points
1,000
B

Bombabomba

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2017
637 1,000
Mimi Nimeanza kupiga kura 1995, 2000, 2005, 2010 zote nimekosa, Nahisi anaiba. 2015 nikaghairi na sitapiga TENA wala kuunga KUHUDU. Nadunda tu msela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,212
Top