KiLA SIKU WANATUNZWA....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
DSC07027.jpg DSC07070.jpg
 
hivo eeeh!! ntakuja uniazie filamu zake mpwazz
karibu sana mpwaaz.............
jamaa yupo juu sana
mimi naangalia sana african magic+ kwa dstv,jamaa anastahili bana

kuna hii moja inaitwa VILLAGE PASTOR,dah dah dah dah!
amewazidi wanaijeria kibao yani
A F-U-C-K-I-N-G hot hot movie
 
Kuna film mbili za Kitanzania niliangalia. Sijui moja inaitwa Johari? Eti mtu kakaa msituni anasubiri gari, maeneo ambayo kakulia na anaambiwa eti hapo kuna Simba ndiyo anakurupuka na kukimbilia kuingia kwenye Basi. Niliangalia kidogo, nikapeleka mbele kidogo na nikabonyeza EJECT. Kutoka hapo sijaangalia tena hizi film. Niiamua kurudi kwenye download na nikamalizia kuangalia movie zangu za Prison break.
Mkuu Balantanda, kwenye hilo picha kwa kweli UNATISHA.

Ombi langu kwa hawa akina Kanumba ni kuwa au muwe wachezaji au muwe Director wa hizo film. Tafuteni shule nzuri za hii fani na mtaona jinsi ambavyo hata wasiopenda film zenu wataanza kuzitafuta kwa udi na uvumba. Pia pamoja na kutozipenda, nawapa HONGERA kwa kuwa WAANZILISHI wa hii biashara pamoja na ugumu wa soko lenyewe. HONGERENI SANA.
 
hahaaaa mpwazz thanks but no thanks

mimi ni kama shemeji yangu Sikonge, naweka na foward then na eject basi.......
 
Kuna film mbili za Kitanzania niliangalia. Sijui moja inaitwa Johari? Eti mtu kakaa msituni anasubiri gari, maeneo ambayo kakulia na anaambiwa eti hapo kuna Simba ndiyo anakurupuka na kukimbilia kuingia kwenye Basi. Niliangalia kidogo, nikapeleka mbele kidogo na nikabonyeza EJECT. Kutoka hapo sijaangalia tena hizi film. Niiamua kurudi kwenye download na nikamalizia kuangalia movie zangu za Prison break.
Mkuu Balantanda, kwenye hilo picha kwa kweli UNATISHA.

Ombi langu kwa hawa akina Kanumba ni kuwa au muwe wachezaji au muwe Director wa hizo film. Tafuteni shule nzuri za hii fani na mtaona jinsi ambavyo hata wasiopenda film zenu wataanza kuzitafuta kwa udi na uvumba. Pia pamoja na kutozipenda, nawapa HONGERA kwa kuwa WAANZILISHI wa hii biashara pamoja na ugumu wa soko lenyewe. HONGERENI SANA.

Labda uwaombe wewe 'Sikonge' watakusikia
 
karibu sana mpwaaz.............
jamaa yupo juu sana
mimi naangalia sana african magic+ kwa dstv,jamaa anastahili bana

kuna hii moja inaitwa VILLAGE PASTOR,dah dah dah dah!
amewazidi wanaijeria kibao yani
A F-U-C-K-I-N-G hot hot movie

Hiyo village pastor ndiyo ile ambayo mke wa mchungaji ana-cheat kwa kutembea na mchungaji mwingine wa mjini mwenye magari?
 
Mimi ni mzaliwa wa mwambao.....usilete kiswahili chako cha bara
Kutunzwa===ni kuhifadhiwa, ama kuweka, uangalizi n.k

kutuzwa+tuzo kitu apewacho mtu kama zawadi, hasa kulingana na
nini amefanya au ameshinda mashindano fulani n.k

@pengine ulikariri tu (pronaunsiesheni) yaani matamshi yenye makosa, maana kama unatoka ama ni mzaliwa wa mwambao
basi huko mwambaoni mnaongea lugha mbofu x2
 
aagh sasa mbona hivi?nimeshindwa kuweka hio link ...kama unataka kuangalia ikopi hio adress...:confused3:
 
Ah mi naona mijikelele tu na sauti kubwaa za bila mpango kwa kifupi hao wote ni wauza sura tu bado sijaona mcheza sinema au muongoza sinema kwa hapa bongo,aherii niangalie michezo ya ukuti kuliko hizo filamu zinazofyatuliwa kila kukicha,hivi jamani kweli eti mtu kila mwezi anatoa filamu mpya hata wanabongo flava hawatoi singo zao kama huo uchafu wa akina K and Co
 
Mbona mmekazania kwa Kanumba tu? Hao wote wanadeserve kwa ukweli MIchuzi naye anastahili
 
Back
Top Bottom