Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa

heeee!..huo sio utani sasa...unakaribia ukweli...ila wapare sio matapeli...hawadhulum cha mtu...haibi...hawawatoi kafara ndugu na jamaa zao!....
 
wananiudhi kuikumbatia CCM,hedaru panaongoza kwa HIV,wanawake wa pare ya same hawajui kukataa.THEEJA KADORI ANGEL!
 
Mmmmmmh ila tabia ya mtu sio kabila lake
Kabila laweza kuwa na influence au lisiwe nalo kabisa
 
wapare ni wazuri wa sura na maumbo, wengi wana maumbo namba 8 na wanamgongo wa kibantu haswaa, mambo ya 6*6 huwawezi, ukioa mpare lazma uendelee sbb ni wachumi,wanaakili ya darasani sana, na pia wanajua kupenda kiukweli ukweli.
Eti ni wakali wa limbwata.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom