Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Wanawake wa kipare wanajua mapenzi viuno laini shughuli nzuri kitandani yaani wepesi
 
Wanawake wa kipare wanajua mapenzi viuno laini shughuli nzuri kitandani yaani wepesi

Acha uongo!! Yan viuno vyao ni vigumu mno,mpaka ikanibidi niweke ratiba ya kucheza mziki chumbani kila usiku yapo nilifanya juhudi zote ila sikuona mabadiliko yeyote! Kifupi wana viuno vigumu sana sijui ni kwasababu ya ufupi?
 
Majina ya kipare yanayoanza na Eli- yanamaanisha nini? Mfano: Elieseri, Eliesikia, Elinighenja?
 
Wanawake wa kipale wanavifua kama ma baunsa lakini ukicheki figure nyuma wamepigwa pasi na miguu kama mikono, pata picha muonekano wao sasa, ila si wote ni baadhi yao tu but majority they got the mentioned quality
 
wapare ni wazuri wa sura na maumbo, wengi wana maumbo namba 8 na wanamgongo wa kibantu haswaa, mambo ya 6*6 huwawezi, ukioa mpare lazma uendelee sbb ni wachumi,wanaakili ya darasani sana, na pia wanajua kupenda kiukweli ukweli.

nakataa
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom