SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,318
- 1,936
wapare ni wazuri wa sura na maumbo, wengi wana maumbo namba 8 na wanamgongo wa kibantu haswaa, mambo ya 6*6 huwawezi, ukioa mpare lazma uendelee sbb ni wachumi,wanaakili ya darasani sana, na pia wanajua kupenda kiukweli ukweli.
kuanzia leo namtafuta mpare, vigezo na masharti kuzingatiwa!