Wapare wanasifika kwa bajeti nzuri, ila wanazushiwa eti niwafupi wakati sio kweli
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!
Wapare wanasifika kwa bajeti nzuri, ila wanazushiwa eti niwafupi wakati sio kweli
Wanagawa sana
huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa
ni wafupi bana....
Preta unauhakika?
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!
Upendo ulioje kumwazima kitoweo mwenzako. Mara ngapi sisi wachaga tunaazimana kitoweo?
wanapenda makande sbb ni chakula chao cha asili, we ulitaka wapende nguruwe kama nyie?Ni wabahili sana na wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki. Jogoo ni mpaka azeeke kabisa ndo watamchinja,na wanapenda makande sana chakula ambacho mi sikipendi.