Kila siku huangalia channel ten lakini sioni habari za Dr. Slaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila siku huangalia channel ten lakini sioni habari za Dr. Slaa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Sep 29, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,097
  Trophy Points: 280
  Kila siku huangalia channel ten lakini sioni habari za Dr. Slaa

  Hivi kuna nini channel ten mbona habari za kampeni za Dr. Slaa ni “blackout”?

  Au siyo “Newsworthy”?
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Wanajipendekeza kwa Watawala wakati hata Watawala wenyewe siku moja moja 'hujisahau' na kumuonyesha Dr Slaa kupitia 'Kipaza Picha' chao cha TBC! Tunawaorodhesha. Siku zao zinahesabiwa. Shame on them BootLickers..:puke:
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Channel ten niliishaacha zamani sana; wale heri hata TBC; waoga na maslahi zaidi
   
 4. simon41

  simon41 Senior Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  some day they ll upperstand
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  OMG. Unawezaje kuchungulia mkutano wa shetani utarajie kuona wanasali!!!!!!! Slaa kwenye TV ya Rostam?
   
 6. e

  ejogo JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Labda Hawana waandishi wa habari wa kutosha kwenda kwenye mikutano ya Dr Slaa.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni sehemu ya mafisadi
   
 8. coby

  coby JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Labda huwa huzioni vizuri!! Mi siku moja moja huwa naziona lakini ni zile za CCM kuiponda CHADEMA (SLAA) au kujibu tuhuma. Kwa mfano jana Tambwe kukanusha dai la CHADEMA juu ya mpango wa kuchakachua kura taarifa ambayo sijaiona TV zingine hiyo jana
   
 9. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata hao TBC wanapoonyesha picha haipigwi kuonesha umati wa watu unaokusanyika kumsikiliza na kumkubali Slaa ila vise versa kwa JK is true. Yaani ikifika kuoneshwa mkutano wa Slaa picha inamuonesha yeye tu (Side view) lakini kwa kikwete view zote zinaonekana (3D). Nahisi wanaogopa kuonesha namna ambavyo Slaa anakusanya watu. Nasikia hata hao wanaohudhuria mikutano ya CCM wanaletwa pale na Malori ya kukodiwa na mafisadi. Hila zinaonekana mapema je 31/11/2010 itakuaje believe or not uwizi wa kura utakuwa katika level ya kimataifa nasikia hata tiki huwa zinahamishwa kichinachina.
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Angalieni MLIMANI TV tuuu!
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Unajua kwa nini nimekugongea Thanks, ni kwasababu hilo swali nilikua najiluliza jana usiku kwenye taarifa yao, yaaani Slaa hana jema kwa Channel Ten, ilinitia kinyaa zaidi pale walipoonyesha kitangazo chao kile kinachosema "iwe ya kitaifa,...tutaionyesha bila upedeleo wowote, sisi kwetu habari na habari....na ujinga mwingine nimesahau mimi
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,259
  Trophy Points: 280
   
 13. W

  We know next JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nawasihi wasome alama za nyakati mapema, kusema ule ukweli, kutakuwa hakuna wakujitetea, kwani ushahidi wote utakuwepo, na wasije wakaona wanakuja kulaumiwa, la hasha, ila watakuwa wanavuna walichopanda. TBC pia nao wachukue tahadhari, wajaribu kuona vyombo kama CNN, Skynews na vingine vinapokuwa ktk shughuri za vyama vya Siasa. Na hili si kwa TBC tu... Mie nilitegemea hata vyombo vingine vya habari, waache ku copy na ku paste habari za kampeni, ila watafute wanataaluma mbalimbali wawe wanajadili hoja za wagombeni na kuzifanyia uchambuzi wa kina, nadhani hapo Siasa itakuwa tamu kwelikweli. Kwa bahati mbaya, karibu vyombo vyetu vyote vya habari hapa nchini, vinakosa ubunifu huo..
   
Loading...