Kila sekunde, $4,108 inatumiwa kulipa watu wenye skill kama yako mtandaoni. Tanzania vijana wapo tayari?

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
794
1,000
Greetings!

Leo nataka nitumie post hii kuwafumbua macho watu waone kwa uwazi kabisa nafasi hii kubwa Internet imetoa kwa yeyote yule Kutengeneza side income na hata baadaye kuwa main business kadiri unavyopata uzoefu huku ukiwa hauhitaji lots of money yakuanza kama ilivyozoeleka katika traditional business.

Binafsi napenda sana technology.

Niseme tu wazi Internet imebadilisha maisha yangu. Sasa hivi nasafiri huku nikiendelea kupiga kazi nikiwa sina tena hofu kwamba ninahitaji kukaa sehemu moja kwasababu tu nisipofanya hivyo sitoweza Kutengeneza pesa.

IMG_7248.JPG

Binafsi nilitumia muda mrefu sana kugundua njia kwasababu nilikuwa nakomaa mwenyewe. Sikufahamu kujifunza kwa mtu anayefahamu zaidi inaokoa muda na pesa. I wish I paid someone to teach me. But anyways that’s the story for another day.

Nimeweka mkazo katika Internet kwasababu Internet inatuweka karibu watu kutoka mataifa tofauti hivyo kurahisisha mawasiliano na hatimaye business. Swali hapa ni je, watu wanauelewa jinsi yakutumia nafasi hii na wao Kutengeneza pesa?

Kwasababu $355 ni pesa nyingi kwa siku.

Inamaana ukijiweka vizuri lazima na wewe utapata share yako kila siku.

Kwa mfano client wengi tu UpWork wameshatumia $500k kulipa freelancers on UpWork alone.

Angalia huyu

IMG_7233.JPGHiyo maana yake watu wapo tayari kutumia thousauds mtandaoni kusaidiwa kazi au project fulani.

Binafsi sasa hivi project nazofanya zinathamani ya $2,100. Upwork pamoja + Freelancer.com alone.

Na ni seme tu yeyote yule anaweza kufanya kazi kama hizi. Kwasababu nyingi ni za Kiswahili.

Kinachotakiwa ni wewe kuwa na skill inayouzika mtandaoni. Hebu kwanza angalia idadi ya skills watu wanasouza. 5,000 skills.

IMG_7247.JPG

a) kutambua na kuondoa makosa ya kimaandishi katika katika article ya Kiswahili au English (proofreading)

b) data entry

c) vitual assistant service ( kuwa mfanyakazi wa kampuni fulani ukifanyia kazi zako home. Kazi hizi mara nyingi ni ku-deal na customers. Kupiga simu, kutuma emails/kujibu etc)

d) Facebook Advertising (kusaidia watu Ku-manage Facebook advertising campaign)

e) logo & business card design

f) web development & IT

g) kuandika mashairi ya muziki

h) na Skills nyingine nyingi unayoweza kumuuzia mtu mtandaoni bila kuhusisha kutumiana product katika phisical form.

Binafsi sasa hivi si tu natengeneza side income kwenye freelancing site pekee. Hata hapa JF nauza Skills yangu kwakutoa consultation kama mkufunzi wa mambo ya kujiongezea pesa mtandaoni vizuri tu.

Hiyo maana yeke ni nini?

Hiyo maana yake hii industry hata Tz imeshafika.

Watu wananjaa na taarifa. Lakini pia watu wengi wanahitaji usaidizi fulani mtandaoni. Iwe kuhusu kusaidiwa kuandika profile account vuziri, iwe consultation ya dk 20 au mafunzo ya wiki moja watu wapo tayari kukulipa hata hapa TZ. Trust me on this kwasababu I’m doing this myself.

Muhimu ni uwe na ufahamu kidogo zaidi ya unaojaribu kuwasaidia na imani ndani yako kwamba everything will be alright.

Ok. Sasa tuangalie hatua 3 zakufanya ili na wewe uanze kutengeneza pesa katika Hii industry mpya.

1 • Jifunze skill mpya inayouzika. Kama unayotayari noa skill yako ili uwe competent.

Yes unahitaji kwanza kuwa na skill fulani ili ufanye kazi na kulipwa right?

Hiyo ni moja na ni muhimu.

Kwasababu utapewa kazi husika iwapo unaujuzi nayo.

Pia kama unao ujuzi tayari ni muhimu kunoa ujuzi wako.

Ukisema wewe ni translator au wewe ni Online Swahili support (vitual assistant) basi jitahidi uwe up to date ufahamu nini client anategemea kwako.

2 • Anza kuwa active kwenye Social forums kama hapa JF. Usitegemee freelancing site pekee. There so much money to be made from fellow Tanzanians.

Yes. Ukiwa unaujuzi fulani hakikisha unakuwa active katika site za nyumbani pia ili uongeze wigo wako wakupata pesa. Trust me kuna watu wengi wanahitaji kujifunza kwako.

Unahitaji tu kuwa consistent na kazi zako lakini pia toa huduma bora kwa watu wote watakaokuwa interested.

Hebu fikiria unafungua Email yako jioni baada ya kutoka kazini na unakuta emails 5 toka kwa client wanaotaka kufanya kazi na wewe. Unaongea nao, unawapatia huduma na wao wanakulipa kadiri ya mlivyokubaliana.

Pia jiweke kama professional kwasababu waTz wengi hawafahamu kwamba service kama hizi zinauzwa kwahiyo waweke wazi you are Business. You are offering professional service.

3 • Give more than your client expect.

Hii ndiyo kauli mbiu yangu.

Watu wote naowafundisha nahakikisha I give more of myself ili wafanikiwe katika Online freelancing. Nahakikisha nipo devoted kwao kwasababu wamenilipa na wanastahili service nzuri na kujisikia wanadhaminiwa.

Kwa kawaida kiasi cha pesa wanachonilipa ni kidogo ukilinganisha na value nayowapatia. Hii inafanya clients wangu wewe appreciative na hata kuwataka marafiki au ndugu nao wajifunze kwangu.

Kutoa zaidi ya unachopokea katika hii industry ni muhimu kwasababu inasaidia sana kujenga mahusiano mazuri na kuaminika na client. Pia hii inamshawishi client kununua service nyingine akiwa na uhitaji.

Yes, kwa leo niishie hapa. I hope umefaidika na darasa hili. Kama kawaida tukutane siku nyingine katika darasa kama hili.

Cheers 🥂
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
794
1,000
Tatizo kubwa kwa sisi bongolala ni means of payments

Hili si tatizo kubwa tena.

Inatakiwa ujiunge na site inayotambulika kama UpWork unapata pesa yako vizuri tu kwa njia ya wire transfer.

Tatizo watu wanajiunga kwenye “vi-website” visivyojulikana halafu wanalalamika wakishindwa kupata pesa zao.

Unatakiwa uwe professional kwa kila kitu.
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
794
1,000
Unaelewa gharama za SWIFT mkuu

Nimekuwa Freelancer kwa kipindi kirefu na nimehamisha pesa toka Account yangu ya UpWork kwenda Account yangu ya CRDB mara kadhaa.

Tozo ni $30.

Hakuna sababu yoyote yakusema eti gharama.

Sasa unapata gig ya $1,000 uhofie fee ya $30?

Kipi bora?

Uache hizi kazi au kukatwa fee ya $30?

You need to think rationally.
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
794
1,000
Unadhani kila mtu atapata kazi ya $1000

Mkuu si lazima upate gig ya $200 au $1000 kwa mara moja.

Usikimbilie kutoa pesa kila mara unapofanya kazi ndogo. Acha kwanza ifike $100 ndiyo unafanya withdrawal.

Mimi binafsi nimeweka Hii schedule.

Sitoe pesa ukiwa chini ya $100

Angalia hapa

IMG_7221.JPG

Hii nasubiri hadi ifike $500
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
794
1,000
Ukiachana na nadharia, sisi tuishio machame/chattle tunanufaika vp na huu mpango??

Hakuna nadharia hapa.

Hii ni real Business.

Tena nikwambie tu naandika hii comment nikiwa lake Eyasi muda huu kwasababu nina project nyingine hapa.

Sasa sielewi wewe kuwa kijijini inakuzuia vipi?

Kwamba hakuna bank?

Hakuna Internet? Umeandikaje hii comment yako?

Mkuu hauna sababu yoyote ile valid yakusema hii mambo haiwezekani kisa unaishi Chatto.
 
Aug 22, 2019
43
250
Greetings!

Leo nataka nitumie post hii kuwafumbua macho watu waone kwa uwazi kabisa nafasi hii kubwa Internet imetoa kwa yeyote yule Kutengeneza side income na hata baadaye kuwa main business kadiri unavyopata uzoefu huku ukiwa hauhitaji lots of money yakuanza kama ilivyozoeleka katika traditional business.

Binafsi napenda sana technology.

Niseme tu wazi Internet imebadilisha maisha yangu. Sasa hivi nasafiri huku nikiendelea kupiga kazi nikiwa sina tena hofu kwamba ninahitaji kukaa sehemu moja kwasababu tu nisipofanya hivyo sitoweza Kutengeneza pesa.

View attachment 1271198

Binafsi nilitumia muda mrefu sana kugundua njia kwasababu nilikuwa nakomaa mwenyewe. Sikufahamu kujifunza kwa mtu anayefahamu zaidi inaokoa muda na pesa. I wish I paid someone to teach me. But anyways that’s the story for another day.

Nimeweka mkazo katika Internet kwasababu Internet inatuweka karibu watu kutoka mataifa tofauti hivyo kurahisisha mawasiliano na hatimaye business. Swali hapa ni je, watu wanauelewa jinsi yakutumia nafasi hii na wao Kutengeneza pesa?

Kwasababu $355 ni pesa nyingi kwa siku.

Inamaana ukijiweka vizuri lazima na wewe utapata share yako kila siku.

Kwa mfano client wengi tu UpWork wameshatumia $500k kulipa freelancers on UpWork alone.

Angalia huyu

View attachment 1271190

Hiyo maana yake watu wapo tayari kutumia thousauds mtandaoni kusaidiwa kazi au project fulani.

Binafsi sasa hivi project nazofanya zinathamani ya $2,100. Upwork pamoja + Freelancer.com alone.

Na ni seme tu yeyote yule anaweza kufanya kazi kama hizi. Kwasababu nyingi ni za Kiswahili.

Kinachotakiwa ni wewe kuwa na skill inayouzika mtandaoni. Hebu kwanza angalia idadi ya skills watu wanasouza. 5,000 skills.

View attachment 1271203

a) kutambua na kuondoa makosa ya kimaandishi katika katika article ya Kiswahili au English (proofreading)

b) data entry

c) vitual assistant service ( kuwa mfanyakazi wa kampuni fulani ukifanyia kazi zako home. Kazi hizi mara nyingi ni ku-deal na customers. Kupiga simu, kutuma emails/kujibu etc)

d) Facebook Advertising (kusaidia watu Ku-manage Facebook advertising campaign)

e) logo & business card design

f) web development & IT

g) kuandika mashairi ya muziki

h) na Skills nyingine nyingi unayoweza kumuuzia mtu mtandaoni bila kuhusisha kutumiana product katika phisical form.

Binafsi sasa hivi si tu natengeneza side income kwenye freelancing site pekee. Hata hapa JF nauza Skills yangu kwakutoa consultation kama mkufunzi wa mambo ya kujiongezea pesa mtandaoni vizuri tu.

Hiyo maana yeke ni nini?

Hiyo maana yake hii industry hata Tz imeshafika.

Watu wananjaa na taarifa. Lakini pia watu wengi wanahitaji usaidizi fulani mtandaoni. Iwe kuhusu kusaidiwa kuandika profile account vuziri, iwe consultation ya dk 20 au mafunzo ya wiki moja watu wapo tayari kukulipa hata hapa TZ. Trust me on this kwasababu I’m doing this myself.

Muhimu ni uwe na ufahamu kidogo zaidi ya unaojaribu kuwasaidia na imani ndani yako kwamba everything will be alright.

Ok. Sasa tuangalie hatua 3 zakufanya ili na wewe uanze kutengeneza pesa katika Hii industry mpya.

1 • Jifunze skill mpya inayouzika. Kama unayotayari noa skill yako ili uwe competent.

Yes unahitaji kwanza kuwa na skill fulani ili ufanye kazi na kulipwa right?

Hiyo ni moja na ni muhimu.

Kwasababu utapewa kazi husika iwapo unaujuzi nayo.

Pia kama unao ujuzi tayari ni muhimu kunoa ujuzi wako.

Ukisema wewe ni translator au wewe ni Online Swahili support (vitual assistant) basi jitahidi uwe up to date ufahamu nini client anategemea kwako.

2 • Anza kuwa active kwenye Social forums kama hapa JF. Usitegemee freelancing site pekee. There so much money to be made from fellow Tanzanians.

Yes. Ukiwa unaujuzi fulani hakikisha unakuwa active katika site za nyumbani pia ili uongeze wigo wako wakupata pesa. Trust me kuna watu wengi wanahitaji kujifunza kwako.

Unahitaji tu kuwa consistent na kazi zako lakini pia toa huduma bora kwa watu wote watakaokuwa interested.

Hebu fikiria unafungua Email yako jioni baada ya kutoka kazini na unakuta emails 5 toka kwa client wanaotaka kufanya kazi na wewe. Unaongea nao, unawapatia huduma na wao wanakulipa kadiri ya mlivyokubaliana.

Pia jiweke kama professional kwasababu waTz wengi hawafahamu kwamba service kama hizi zinauzwa kwahiyo waweke wazi you are Business. You are offering professional service.

3 • Give more than your client expect.

Hii ndiyo kauli mbiu yangu.

Watu wote naowafundisha nahakikisha I give more of myself ili wafanikiwe katika Online freelancing. Nahakikisha nipo devoted kwao kwasababu wamenilipa na wanastahili service nzuri na kujisikia wanadhaminiwa.

Kwa kawaida kiasi cha pesa wanachonilipa ni kidogo ukilinganisha na value nayowapatia. Hii inafanya clients wangu wewe appreciative na hata kuwataka marafiki au ndugu nao wajifunze kwangu.

Kutoa zaidi ya unachopokea katika hii industry ni muhimu kwasababu inasaidia sana kujenga mahusiano mazuri na kuaminika na client. Pia hii inamshawishi client kununua service nyingine akiwa na uhitaji.

Yes, kwa leo niishie hapa. I hope umefaidika na darasa hili. Kama kawaida tukutane siku nyingine katika darasa kama hili.

Cheers 🥂
Mkuu,well said,japo upwork wamekua wagumu kupokea freelancer wapya kwa sasa,unapatikana mkoa gan nikutafute nipeane experiences zaidi?
 
Ntikwite

Member
May 13, 2017
53
95

Cheers
Napenda kuifanya hii kazi lakini sijuw chochote kuhusu hii kazi naomba msaada namba yangu n 0763350609/0628995639
 
Ray of light

Senior Member
Sep 8, 2018
134
250
Asante kwa uzi mzuri kama huu. Sasa kuna baadhi yetu tuna multiple skills. Mimi kama translator naweza kuapply kwa ajili ya kazi za data entry nikakubaliwa? Nifanye nini ili nipate hizo za data entry au hata virtual assistant? Thanks in Advance
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
794
1,000
asante kwa uzi mzuri kama huu. Sasa kuna baadhi yetu tuna multiple skills. Mimi kama translator naweza kuapply kwa ajili ya kazi za data entry nikakubaliwa? Nifanye nini ili nipate hizo za data entry au hata virtual assistant? Thanks in Advance

Habari Ray of light,

Kwanza kabisa ni vizuri kuwa na Skills zaidi ya moja. Hii itakusaidia kuwa na wigo mpana wa kupata gigs (kazi).

Kwahiyo jibu ni ndiyo. Unaweza ukapata kazi za data entry. Muhimu ongezea hiyo skill ya data entry katika profile yako.

All the best.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom