Kila sehemu Watu wanazungumzia mikataba ya madini, ila cha kushangaza hawajui hata inafananaje.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Mi nashangaa sana ukipita kila kona iwe social media au kitaa, unakuta watu wakibishania mikataba ya madini pamoja na acacia saga. Cha kushangaza hata iyo mikataba yenyewe hawajui ipoje.

Unakuta mtu anasema acasia au TZ wamebreach contract. Tena mtu anaongea kwa kujiamini kweli lakini ukimuuliza iyo contract iliyokuwa breached umeiona wapi? Anaanza kujiuma uma eti tumeambiwa. Wewe unabishana kitu ambacho umeambiwa?

Hata kwenye court of law mashahindi huwa wanaulizwa. Ulchokisema umekiona, umeambiwa, umesikia?

Sasa watu matahani mnapoteza muda kubishana mambo ambayo hata hamyajui. Leo mnabishana mikataba ya madini kumbe hata compuni zenyewe zilikuwa ndyo zinamaliza muda wake wa operation.
 
Tunamsubiri Rais atuletee Bungeni tuone jinsi viongozi wetu walivyokula mlungula.
 
Back
Top Bottom