Kila palipo na maendeleo mwanamke yupo nyuma yake

pangakali 2

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
238
220
Habarini wakuu nimekuwa nikisikia kuwa kila palipo na maendeleo kwa maana ya kimaisha lazima kuna nguvu kubwa ya mwanamke katika mafanikio yako imechangia kwa namna moja au nyingine.

Swali langu: Mwanamke anayezungumziwa hapa ni mke, mama mzazi au nani hasa?
 
Mama....
Mpk leo tunakufwa yote haya sbb yenu pale garden...
Useme tusigenerizeee......?

Tumalizeni tuuu.........

Na ndio maana mna ka msemo
'ukifa tutaishijeee???'
Hahaaaaaaa
alooo nyie nimewavulia kofia
Sisi


🤣🤣🤣🤣🤣!Cheesus!
 
Back
Top Bottom