Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

Ukitaka kupima busara kwenye kundi la watu na kufahamu their 'their true colors', waambie shit. Katika kundi kubwa la watu kwenye thread hii nimeona una busara mno, wewe ni mama bora ikiwa una mtoto, kama umeolewa wewe ni mke bora. Nimekupima tangu siku ya 1 naona 'quote' yako, hukujibu 'shit' japo nilikuambia 'shit', sisemi mengi.
Tuko pamoja Chief 🥂
 
Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.

Naomba ushauri wenu.

Mshukuru MUNGU,hapo anakuepusha na majanga.
 
mkuuuu mimi mpaka nakataaa appointment ww.unahangaika tafazr nicheki in box upate papuchi kama upo dar Classic
 
Back
Top Bottom