Jamani nimestushwa na suala hili sana. Kilomita zangu za umri zimesonga sana. Ktk kuperuzi mitandaoni juzi nimechat na mshikaji wangu mmoja akaniuliza "wewe jamaa una nini wewe?". Nikamuuliza kwann? Akasema yaani wadada wote waliokuwa michepuko wako kule (akataja sehemu niliyokuwa naishi) hawajaolewa hadi Leo.
Hii ikanifanya nijikumbushe na michepuko mingine ambayo nimewahi kukutana nayo ama hata kusimuliwa na watu. Nikagundua wote ni masingo maza hadi leo. Aaah! Nimeshangaa sana hii kitu.
Sina amani ndugu zanguni, tatizo nini? Ni mm peke yangu au iko hivi na kwa wengine?