Kila nikiumwa mafua lazima hivi vipele vitoke

Ma BOBO

Member
Jul 11, 2021
57
90
Jamani hii usababishwa na nini kila nikiumwa mafua makali lazima ivi vipele vitoke vinanikera vinatoka mafua yakielekea kuisha vinaweza vikawa vingi au vichache.
IMG_20210911_174244_1631371405758.jpg
 
Wewe una Sinuses ugonjwa huu unasababishwa "mucus" kujaa maeneo ya njia ya hewa maeneo ya pua kwa ndani sasa kutokea kidonda na matokeo ya mucus kuzidi eneo la ndani na kusababisha kidonda baada yakula cell za ngozi ya njee ukiona hivyo hujue pengine ulaji wako unashida. Nashida inaweza kuwa kwenye ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi au protein ya wanyama casein protein au nyakula vyenye asidi nyingi mafano nyama, mayai, maziwa na mazao yote ya wanyama na ndege. Pia kwenye baadhi ya watu walishaniambia juu ya ulaji wa parachichi huwaletea hii allergy.

NB:Uki-google "casein protein" utaletewa faida lukuki za hii protein ila ukweli ni kwamba ni issue ya kibiashara watu/campuni zinavuta mpunga mrefu toka kwenye hizi bidha huwezi ambiwa otherwise. Kwenye kitabu cha Dr. Neal Barnard ni professor anazungumzia kwa kina hilijambo, tuachane na hili kwanza.

Zingatia mlo ndugu alafu tupe mrejesho kuhusu tiba zko nyingi za hospitali yaani conventional medicine pia herbal medicines ni wewetu ila mlo ndio kila kitu.
Kama unataka kujua uleje sema tuandae madini kwa ajili ya mloo tu.
Asante! paa!
486696913.jpg
 
Andaa Madin ya ulaji kiongoz hata mimi nina tatizo hilo la Sinuses zinanisumua zaid ya mwaka...Pia kama unajua dawa Plz nisaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom