Kila nikitafuta wa kumuoa, naangukia kwa wadada wenye umri mdogo

Vella

Senior Member
Nov 16, 2016
167
156
Wanajamvi habari zenu.

Twiga Stars wananiganda, najibandua naangukia kwao tena. Nataka veteran mwenzangu (24+)

Naombeni ushauri,

Mimi ni kijana wa umri uliokomaa kuoa sasa hivyo nataka kuanzisha michakato ya kuoa ingawa kikwazo kikubwa sipati wale mabinti ninaowataka isipokuwa wanajilengesha kwangu wasichana wazuri ila nawaona wadogo na nisioweza kuwaoa.

Nataka binti aliyepevuka mwili na akili, changamoto ni hawa Twiga Stars wananiganda kama ruba. Nikimpiga chenga huyu naangukia kwa yule.

Nifanyeje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa umri huo unajiita mkubwa!!!!umri wako na wangu tupo Lika moja ila bado najiona mdogo SNA na kuoa bado naona nitajifanyia unyanyasaji wa kijinsia!!!!

Back
Top Bottom