Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
7,682
2,000
Humu ( hapa ) kuna Watu Wapumbavu ( Majuha ) mno na ndiyo maana huwa ninawadharau sana tu.

Nimeanzisha Uzi kuonyesha Tahadhari yangu tu ya Kimchezo hasa kutokana na Uchezaji wa AS Vita Club.

Hskuna mahala Generalist nimesema Simba SC itafungwa jana na AS Vita Club kama ipo naomba mnionyeshe hivi sasa.

Na msichokijua huenda hata Mtazamo wangu wa Kimashaka umeweza Kuwasaidia Benchi la Ufundi Kujipanga zaidi Kimbinu.

Nashukuru wapo Wachache Werevu walinielewa na wananielewa isipokuwa kwa Waswahili Wapuuzi wengi mliopo.
Ni utopolo wenzio tu waliokuelewa!! Pole kwa maumivu na mengi yatakuja mbele ya safari!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom