Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

Hivi sijawahi kuelewa, mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wawili, watu wa nje wanaweza vipi kuratibu suala hilo ki maamuzi.

Ukikua utaacha.
 
Wanakupima kuona kama akili zako ziko sawa na unaweza kujitegemea katika miasha na ulivyo Zombi unawasikiliza.Kwani ukiwa unamtafuna huyo mwanamke wanakushauri staili ya kutafuna tunda. Au wanawaone huruma hao wanawake kwani wanaona wewe ni Zombi mkuu unayekaa kule kwa Mnyamani
 
Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.

Hali hii inasababishwa na nini?
Hama hapo nyumbani au karibu na wao hakikisha mnaonana kwa mwaka mara moja au kama kuna sababu za lazima
 
Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.

Hali hii inasababishwa na nini?
Watakaoishi na huyo mwanamke ninwao au wewe?

Au unaishi na Mama yako na dada yako bado?
 
Wewe angalia uchaguzi wako ndani ya moyo wako. Usiangalie makunyanzi. Wewe ndio unaeoa, sio wao.
 
Back
Top Bottom