Kila nikimwona Binti kavaa nguo za kutega Jamaa Anasimama!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nikimwona Binti kavaa nguo za kutega Jamaa Anasimama!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Eng. Smasher, Dec 20, 2010.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF habari za weekend?

  Mimi ya kwangu ilikuwa bomba lakini ninaomba msaada wenu kwa hili!
  Mimi nina tatizo kabwa huwa linanisumbua ingawa sio mara kwa mara coz huwa linatokea mara mojamoja sana!

  Kuna baadhi ya siku huwa jamaa ha2lii ndani ya underwear coz huwa anasimama pindi 2 aonapo kiumbe mrembo kavaa nguo ya kutega(I mean skirt fupi na Matiti kuacha wazi)!!
  Kuna wakati hiyo hali hainitokei kabisa hata akipita kiumbe wa namna gani na kavaa nguo ya aina yoyote!!!

  Jamani naomba mawaidha yenu huu ni ugonjwa au nini kinanisumbua na kuleta hii hali ndani ya mwili wangu??!!
   
 2. c

  chelenje JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhandisi, dawa ni ndogo...tafuta binti mrembo sema naye kisha nenda ukakate kiu hadi iishe then utakuwa normal, siyo ugonjwa ni kiu tuuuuuuuuuu. Punguza kushinda kwenye mitambo(workshop) au site!!!!
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmm mh we hatari waonyesha,,,,,
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pole
  nikawaida ..urijari uo bt jaribu kuwa na demu wako...au km unaye uwe unamalizana nae mzigo kamili siyo mnapena nusu nusu ukitoka nje ukiona paja kitu inastand up....PUNGUZA KUWAZA NGONO...wewe ukiona mapaja tu akili yako unaiamisha unaipeleka kuleeeeeee...jaribu kujicontrolll...POLE
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hilo la kawaida sana hata mimi huwa linanitokea sana tu, ila ni kipindi fulani.
  Aisee usiombe ni mbaya maana yaweza kukutokea mbele za watu halafu Mh! MTUTUMKO. Lakini huwa yanapita

  Sasa tufanyeje?????
   
 6. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ushauri wako ni ULTIMATE NA TRUTH! Ila sasa utekelezaji wake mgumu sana! mawazo sometimes du! hata leo imenitokea tena kazini usiulize imekuwaje!
   
 7. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu sumtym ilikuwa inanitokea hata wakati ambao nimeshinda na mtoto mrembo siku nzima but nikitoka na kuona kiumbe mwingine katega jamaa anakomaa kustand up!!

   
 8. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mimi naona kuwa siyo hatari, na tena inawatokea watu wa kawaida sana, ila baada ya mda linapita kabisa na ukiwaona unawadharau tu hao wategaki kwa tabia zao mbaya
   
 9. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hatari kivp tena hebu inyooshe vizuri....

   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Eng .

  Wako binadamu wenye tabia kama "fisi maji" so sio ugonjwa ni "uhlka"!

  Pili unaweza kununua REVOLA za kutosha ili ikifika jioni unatumia muda mwingi bafuni!

  Tatu, acha ubahili, siku hizi pesa inaweza kukata "kiu" ya kitu chochote unachohitaji!
   
 11. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naweza nikawa siwazi NGONO na nikawa na demu pia mzigo umepigwa kamili lakini hiyo hali inanitokea!!
  Pia haitokei mara kwa mara!!

   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Da rose 1980 nyumbani hawajambo? Umerudi lini?
   
 13. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Binafsi bado sijakuelewa katika Bolds, maana kama hulka isingekuwa msimu fulani tu, halafu revla ndugu si kujiua huko sasa au imekaaji hii wanajamii!
  Kwenye suala la pesa unapataje hawa hiyo habari jamaa akalala?
   
 14. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio Ubahili ila najali afya yangu hata kama Condom zipo. Vipi ushawahi kuwa2mia uniambie raha yao??
   
 15. c

  chelenje JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mhandisi, unajua hawa mabinti wako tofauti sana, unaweza pata mtoto bomba ukammega hadi hamu ikaisha, ukitoka tu na kumuona mwingine mzee ana-stand up! na hata ukipewa tena baada ya kumaliza tu mzee anadai...dawa ni ku-do as much as you can, ila tumia kinga!!!
   
 16. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu mmoja alisema humu kuwa ingekuwa kama Bluetooth tungekuwa tunaingia kinyemela, tukamkatalia maana nayo lazima mtu afungue.
  sasa hata hili ni two way akubali mweze ku DO, na kama mzee anasimama that sudden, bado labda hizo REVOLA MAANA NI WEWE TU!
   
 17. semango

  semango JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huo ni ujana na hizo ndio adha za ujana.ila baada ya miaka michache tu hali itabadilika.kwa sasa fanya mazoezi ili uwe unachoka vya kutosha ili akili isiende kabisa kwenye hayo mambo.pia kwa kujisitiri zaidi vaa nguo nzito kidogo ndani.e.g waweza vaa boxer plus chupi ili kukomesha jamaa hata akisimama isije ikawa mushkeli kwa waliombele yako
   
 18. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Ushauri wangu acha kutamani wapita njia oa upate FULL DOZI na hako ka ugonjwa kataisha ila kama utaendekeza mwili tegemea mzee H.I. V kubisha hodi kwa spidi
   
 19. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena mkuu!! BIG UP sana!

   
 20. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  khatari kama pili pili we hujioni kwani??????
   
Loading...