Kila nikimeza vidonge naviskia kama vimekwama kifuani kwa sikuu kadhaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nikimeza vidonge naviskia kama vimekwama kifuani kwa sikuu kadhaa!

Discussion in 'JF Doctor' started by Uncle Jei Jei, Mar 21, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Hili limekuwa tatizo kwangu, mwanzon nilion kawaida lakin cku zilivyozid kwenda nikarud kwa dactari, naye akanipa jibu jepesi kuwa ni uoga wa dawa so its just psychological problem! Ila kwa kweli hii hali huwa inanitesa kila nimezapo dawa kwan huninyima raha mda wote navyozisikia kama zmekwama kiasi kwamba had hunilazm kukatiza dozi!,hali hudum kwa siku 3 had 5 baada ya kumaliza dawa! Tafadhali, kwa anayefaham ni tatizo gani na naweza kuliepukaje! Kuhusu maji, nakunywa YAKUTOSHA KABISA ILA WAPI! msaada wenu tafadhali!
   
 2. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  we hilo nitatito la kisaikolojia dokta laikuwa sahihi sema labda hakukupa mbinu za kuondokana nalo. kunanjia kazaa za kushinda uoga au kuvunja tabia hivyo jaribu yafuatayo
  1.ekszosheni(nimeshindwa kwa kiingereza) hapa mtu ana jaribu kuacha tabia au kuvunja woga kwa kulifanya jambo hilo mara nyingi mpaka limchoshe au alizoee hapo alimwogopeshi tena, so nakushauri tafuta karanga uwe unakunywa kama dawa yaani karanga funda la maji karanga funda la maji sijui ufanye kwa muda gani sababu sina experience ila jaribu labda mwezi, fanya kwa jinsi utaona haikuuzi.
  2. njia nyingine ya kuvunja uwoga/tabia ni substitution yaani tafuta tabia au njia mbadala sasa nakushauri uwe una tafuna dawa badala ya kumeza ila ujue kuna dawa zingine hazitakiwi kuwa chewed
  pengine ungesema kama maishani uwewahi kukabwa na dawa au kitu chocote maana inaweza ikwa stimulus generolaizesheni at work.
   
 3. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  sorry i normally prefer retrospective quality control
   
 4. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Thanks @Red giant, naona njia ya pili inaweza kufaa, "substitution" hasa labda kwa kuziyeyusha kwanza kwenye maji! Na pia kuna watu husema kuwa yawezekana ni minyoo isiyoendana na dawa husika ambayo hupanda juu baada ya kumeza dawa na hivyo kuwa kama imekaba kwenye njia ya chakula (hii ni kulingana na maelezo ya dada mmoja muuzaji wa duka la dawa.) je, kuna ukweli hapa??
   
 5. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  hili la minyoo kupanda sidhani kama nikweli, kwa kawaida minyoo ikiwa irritated huwa inamove downward, ila ngoja tuwasubiri wadau. njia ya pili ni nzuri ila muhimu ni usije uka yeyusha au kutafuna dawa zisizo takiwa ku yeyushwa (enteric coated). ukioona ina kusumbua jaribu ya kwanza inaweza onekana ya kuchekesha ila inaweza kuhelp
   
 6. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  je, chakula hakikwami?
   
Loading...