kitambiflat
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 163
- 228
- Thread starter
- #41
ahsanteSikiliza na hili atakuambia Dr yeyote wa Urology. Utam huo utakufanya saa nyingine ufanye ka kukamua kamua vile. Unavyofanya hivyo, kule ndani kumetokea vijipele ambavyo vikianza kupona vtafanya kitu ka vinundu vile vya kondom. Baada ya muda, vitakua na kuziba kojo lako au ukikojoa utakuwa mkojo ukipita kwa shida na maumivu makuubwa kuliko huo utam unaousikia leo.
Njoo uwekewe mpira mapeeema kabla hujaziba.