Kila nikimaliza nasikia muwasho wa utamu kwenye uume

kitambiflat

Senior Member
Oct 16, 2015
163
250
Salaam wanajamvi,

Naomba nishee hii kitu cjui inanipata pekeangu au laa!! kila nikimaliza Ku do (sex) nasikia muwasho wa utamu ndani ya uume, I mean kwenye njia ya sperm huwa panawasha hadi inafikia nakuna uume kwa mkono upande wa chini kwenye lile bomba, at that time nikienda kukojoa utamu wa muwasho huongezeka zaidi.

Hii kitu imentokea kwa muda sasa mwanzo nilifikiri labda ugonjwa lakini hapana ni zaidi ya miaka mitatu sasa!

Je, ina madhara yoyote?
 

Ngwananzengo

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,914
2,000
Duuuhhhh kazi kweli kweli.

Ni wakati muafaka kwako wa kwenda kuonana na wataalam wabobezi juu ya hicho kinachokusumbua. Kumbuka wahenga walivyosema "chelewa chelewa....."
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,821
2,000
Yaani unathibitisha si ugonjwa maana umekaa nao miaka mitatu? hii ni mbaya na ajabu, kacjeki HARAKA SANA, usije ambiwa ungekuja mwaka jana usingekufa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom