instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Sijui na matatizo gan wachawi, waganga na wajuvi wa njozi mnisaidie.
Kila nikilalia medulla oblongata au kulalia kisogo lazima niote ndoto za kutisha za nyoka nyoka saa nyingine kama nakua naye kitandan .
Siku nyingine naota kama huyo anataka kuningata lakin nashtuka huku nikiwa na hofu.
Tatizo hilo limeanza mda sasa mpaka naogopa kulala chali.
Msaada wenu tafadhali.
@ mshana jr