Na ukistuka usipokuwa makini unaweza kuanza marathon ya kiana moyo unadunda Dunia nzima mimi hata mchana shuhuli ipo pale pale, tena ndio balaa maana huwa nafumbua macho kabisa lakini siwezi kufanya kitu chochote nalazimishwa niyafumbe ili balaa liendelee.Mimi pia, hata kujigeuza au kutingishika inakua tizi hata nimuite mtu mie nadhani ananisikia kumbe hola kinatesa sana hata kupumua kunakua kwa tabu sana sikuhizi sitaki kabisa habari za kulala chali mimi labda mchana maana nimejaribu kufanya utafiti wa kulala chali mchana kama litanikaba lakini hamna ila usiku sasa mama yangu ni balaa!!!