Kila Nikilala chali naota nyoka wa kutisha.

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,883
Points
2,000

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,883 2,000
Sijui na matatizo gan wachawi, waganga na wajuvi wa njozi mnisaidie.

Kila nikilalia medulla oblongata au kulalia kisogo lazima niote ndoto za kutisha za nyoka nyoka saa nyingine kama nakua naye kitandan .

Siku nyingine naota kama huyo anataka kuningata lakin nashtuka huku nikiwa na hofu.

Tatizo hilo limeanza mda sasa mpaka naogopa kulala chali.

Msaada wenu tafadhali.

@ mshana jr
 
instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,883
Points
2,000

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,883 2,000
Wahenga wanasema huo NI ulinzi kutoka kwa roots zako(Mizimu) Ila ungekuwa unaota nyoka wanakufukuza maana yake unafanyiwa hujuma na maadui zako,nimewah kutana na hyo nikawauliza wahenga wakanijibu hivyo
Duuu!!!

Mie saa nyingine huota nafukuzwa na nyoka lakin hawaningati kamwe.

Baadae nashtuka kichwa kinaumwa umwa
 
Abercrombie13

Member
Joined
Jul 14, 2018
Messages
25
Points
75

Abercrombie13

Member
Joined Jul 14, 2018
25 75
Mkuu ndoto nyingi mbaya na jinamizi hutokea pale unapolala chali. Hii n kutokana na uwepo wa jcho la roho katika paji la uso (kama umewah sikia jicho la 3), ambalo huona meng katika ulimwengu wa kiroho. Muhmu n kulala upande au kifudifud kuepukana na majinamiz na ndoto mbaya.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
8,362
Points
2,000

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
8,362 2,000
Kama kimalkia kinapanda nenda Google uandike dreams about snakes. Utapewa tafsiri zaid ya 50. Ila kwa harakaharaka ulivyo eleza ni kuwa unapitia kwenye jambo fulani linalotatiza maisha yako eg hali ya uchumi kwako haiendi kama ulivyotarajia, madeni yaliyokuzonga au vyovyote vile ni kuwa kuna jambo linalokuumiza kichwa kwenye maisha yako na kwa harakaharaka hujui namna ya kulitatua
 
instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,883
Points
2,000

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,883 2,000
Mkuu ndoto nyingi mbaya na jinamizi hutokea pale unapolala chali. Hii n kutokana na uwepo wa jcho la roho katika paji la uso (kama umewah sikia jicho la 3), ambalo huona meng katika ulimwengu wa kiroho. Muhmu n kulala upande au kifudifud kuepukana na majinamiz na ndoto mbaya.
Jicho la tatu ndo nini mkuu?
 
instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,883
Points
2,000

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,883 2,000
Kama kimalkia kinapanda nenda Google uandike dreams about snakes. Utapewa tafsiri zaid ya 50. Ila kwa harakaharaka ulivyo eleza ni kuwa unapitia kwenye jambo fulani linalotatiza maisha yako eg hali ya uchumi kwako haiendi kama ulivyotarajia, madeni yaliyokuzonga au vyovyote vile ni kuwa kuna jambo linalokuumiza kichwa kwenye maisha yako na kwa harakaharaka hujui namna ya kulitatua
Kuna ukweli Fulani hapa
 
wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
12,577
Points
2,000

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
12,577 2,000
Ukiendelea kulala tuu basi huko huko ndotoni utageuka nyoka na ukikutwa na wengine waoota huko huko wanakubonda kichwa alafu kwa ulimwengo wa kawaida ndo unaonekana sasa "marehemu alifia usingizini"
 
Home First

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Messages
529
Points
225

Home First

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2013
529 225
Mimi nikijisahau tu nikalala chalk ebana hizo kabali nitakazonigwa huo usiku mimi na Mungu tu ndio tunaojua.
Mimi pia, hata kujigeuza au kutingishika inakua tizi hata nimuite mtu mie nadhani ananisikia kumbe hola kinatesa sana hata kupumua kunakua kwa tabu sana sikuhizi sitaki kabisa habari za kulala chali mimi labda mchana maana nimejaribu kufanya utafiti wa kulala chali mchana kama litanikaba lakini hamna ila usiku sasa mama yangu ni balaa!!!
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
2,210
Points
2,000

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
2,210 2,000
Wahenga wanasema huo NI ulinzi kutoka kwa roots zako(Mizimu) Ila ungekuwa unaota nyoka wanakufukuza maana yake unafanyiwa hujuma na maadui zako,nimewah kutana na hyo nikawauliza wahenga wakanijibu hivyo
Mkuu hata Mimi naotaga nyingi sana.
Na nyingine pia huwa naota paka mweusi yupo pembeni ya kitanda changu hii nayo itakuwa inamaanisha nini?
 
Forum statistics

Threads 1,344,385
Members 515,452
Posts 32,818,906
Top