Kila nikijiuliza sipati jibu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nikijiuliza sipati jibu.....

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SURN, Dec 25, 2011.

 1. S

  SURN JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kwanini TANZANIA haiwapi kipaumbele WANAUCHUMI kama nchi nyingine? wakati wanauchumi ndo nguzo la taifa ktk uchumi wa nchi.maamuzi mengi (kiuchumi) yaserikali ye2 yanafanywa na watu ambao hawajasoma uchumi na ndo maana kila siku tunalia gharama ya maisha inapanda!! Pia ktk masomo ya vyuo vikuu wanachukulia kama si somo ambalo linaweza kuisaidia nchi ktk matatizo mbalimbali(hawatoi vipaumbele kwa wanafunzi wanaosoma hili somo).WAMESAHAU KABISA KUWA UCHUMI NDO MHIMILI WA NCHI YE2 KTK KUTATUA MATATIZO YA KIUCHUMI KTK NCHI.huwa napata kigugumizi cha majibu kila ninapojiuliza hili swali...je hawajui umuhimu wa hili somo?au wanajua lakn kiburi 2 ndo kinawasumbua?au wanataka kufaidi peke yao bila kuangalia jamii inayowazunguka?au wanauchumi wa nchi hii hawana huo uwezo mpaka wanawapa maichinia waweze kutatua watatizo ya nchi?JAMAN TUSIPO LIANGALIA HILI JAMBO KWA KINA(ingawa limejificha sana)TUTAISHIA KULIA KILA SIKU NA HAKUNA SIKU YAKUNYAMAZA COZ HAKUNA MTAALAM WAKUTUNYAMAZISHA(wachumi)
   
 2. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Shukrani kwa hoja nzuri sana, kabla ya yote kwa jinsi ulivyouliza napata hamu ya kujua elimu, taaluma yako pengine tanaweza kujadili kwa ufanisi zaidi, mm nimesomea finance na entrepreneurship, Hivyo basi kama wewe ni economist siidhani kama huko selikalini hawashirikiswi kwenye maamuzi,... vile vile siyo kila kitu duniani binadamu ataweza kujua na kukidhibiti au kutabili, mfano wa hivi karibuni tu world financial crises hadi ss inaendelea imezikumba hata USA, ITALY, UE n.k je huko hawapo hao wataalamu ? ni mawazo yangu kuwa wataalam wapo na wanahusishwa ila tatizo ni viongozi wenye uelewa MDOGO na kutaanguliza sana SIASA, Kila kitu kinendeshwa kwa ushabiki wa KISIASA.. Na jamii nayo bado uelewa uko chini sana ndio maana tunapata viongozi wabovu, mafisadi, wabinafsi, Hakuna uzalendo.....
   
Loading...