Kila nikiingia katika website ya PDFDrive. Com, nikitaka kudownload kitabu huwa inaniandikia hivyo

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Kila nikiingia katika website ya PDFDrive. Com, nikitaka kudownload kitabu huwa inaniandikia hivyo.


Shida hapo ni nini wakuu?


Msaada tafadhali
 
Matangazo either wanafanya wenyewe makusudi ama Aina ya matangazo waliyoweka yanakydirect website ambazo sio nzuri.

Ungeweka full link.
Full link kivipi mkuu, maana hii website natumia sana kwenye kupata vitabu alafu leo hii inasumbua tena jamani.
 
Full link kivipi mkuu, maana hii website natumia sana kwenye kupata vitabu alafu leo hii inasumbua tena jamani.
Nimeingia ipo fresh na adblocker
Screenshot_20210617-173142.png
Screenshot_20210617-173133.png


Tafuta browser inayoblock matangazo, epic ama brave, ama Firefox yenye ublock origin kwa ajili ya website sumbufu kama hizi
 
Back
Top Bottom