DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,212
- 4,517
Aisee,
Sijui mimi ndo mshamba au ndo sijielewi. Vyombo vyetu vya habari vinahamasisha michezo ya bahati na aibu kila baada ya dakika kadhaa, ni kero kwa kwenda mbele.
Hivi Kwanini serikali zetu zinaruhusu jamii kupotezwa kiasi hiki, au kwa serikali muhimu makampuni yalipe kodi hata kama jamii inaangamia?
Wanabodi hii imekaaje?